Weee achana na be one coach wana care haoooo uwiiiiii🥰🥰🥰🥰
2026-11-14 13:46:49
0
KILANGO_KLNG TZ :
Mnamabasi mengi na mazuri ila yanaongoza kwa ajali [Kulia]
2026-11-14 08:57:05
6
moudy :
abood Pame changamka
2026-11-14 09:36:01
0
zaidulla12 :
abood tunaishukulu imefanya wdada tupunguze kudanga man kaz km zote🤣🤣
2026-11-09 06:45:00
41
naahmpole :
sawa maheari mazuri ila kupoteza mizigo ya watu na kupitiliza sehem nyingine muache mnatuchosha na mnatutoa Imani na hii kampuni na majibu mabovu na Ile namba nlisema n huduma kwa wateja mnapokea simu Alf mnaacha Tu hewani ni Bora muitoe kusiwe na no ya ofisi
2026-11-08 20:29:39
29
chimummychimummy :
yaan aboud hata niambiwe kupanda bure sipand jmn yamezid kwa kuwaka moto,, ajali kila siku jmn🙌🙌🙌
2026-11-14 14:11:04
2
Dr.ab3d Gagulah :
mboreshe na huduma zenu sasa
2026-11-09 10:34:30
15
segito og :
nikipanda mniuwe mnizike walahi mnafokea mteja kama kapanda bule niliumia kuna bibi nilikaa naye alijibiwa vibaya mbka nilitamani kulia
2026-11-09 14:41:16
17
neemasamwel359 :
nilipanda haya Magali nikanyimwa paswed ya wife
2026-11-14 13:39:20
0
Mikaely iddy nyaburiri :
Mimi sijawahi kupanda siwez kuongea kitu chochote😂😂
2026-11-14 07:02:41
2
cute smile 🥰🥰🥰🥰🥰🥰 :
niongee kwa kukaa au kusimama 😁😁 anyway kuwen na customer care nzuri bn ,mnafokea wateja as if nauli mmewapea ninyi ,ni vile hamn sehem ya kutuma voice note 😒😒
2026-11-10 13:37:59
1
Isaac Kalyango :
Dar bukoba ?
2026-11-09 06:45:31
0
anthon :
oya mwambieniapelekenatabola
2026-11-09 07:45:41
0
Kíwá Høød :
jaman hivi mkiachana na johanvia na hii abood je ni basi gan nyingine inafika mara
2026-11-10 19:49:36
0
HEJESA💰_official🔞 :
gar zuri ila huduma mbovu sanaa
2026-11-10 06:28:05
8
21st November 🎂💸🎁 :
jarbuni kuongeza na customer care kuliko kuongeza magari tu alaf huduma zero
2026-11-10 16:43:46
5
Salma :
Si ambao hatujapanda na hatupandi tena bus zao
2026-11-11 17:55:09
2
mwanikeclassic_1❤️🔥 :
Customer care yenu Sio nzur kabisaa nivile tu mnavuta wateja na dawa isingekuwa ivyo mngekuwa hamna wateja
2026-11-11 08:47:39
3
yusta wa simba :
kupanda ii labda wanipe rift ili ata wqkinijib vibaya nijue nimepewa rift mamaeee
2026-11-12 15:49:37
1
Al-faaruuq online tv :
ivi abood hakuna wakujibu sms za wateja sioooooo.
2026-11-10 11:18:02
1
love ❤️ :
jaman wanahuduma mbaya uwii
2026-11-10 15:37:50
2
ice rayder 🦅⭐️👑 :
nikipanda abood mniite mbwa wanazarau sana badiliken sana. una tilisho na ban na shabby ni balaa kwanza wanahuduma nzuri
2026-11-10 07:41:00
4
world Solidarity Recruitment :
my trip from mo.basa to tanga under captain Hussein and his crew Hafsa and Laura was awesome.
thank you Abood.
waschana wenye heshima ya hali ya juu. driver Masha'Allah Tabaraka'Allah mola akupe umri na akulinde kila uendapo.
2026-11-09 07:46:34
1
To see more videos from user @aboodbustz, please go to the Tikwm
homepage.