@morehpax: Ikiwa ni wiki moja toka Zuchu atangaze kujizawadia Gari la kifahari aina ya Bentley GT lenye thamani ya milioni 800. Sasa leo muda mfupi ulip pita Nandy naye ametangaza kujizawadia nyumba ya kifahari aliyo ijenga yeye mwenyewe kwa kipato chake. Nandy ameandika kuwa, ana washukuru sana mashabiki zake kwa sapoti wanayo endelea kumpa mana bila wao asinge weza kufika hapo alipo. Ikumbukwe Nandy alianza kuwajengea wazazi wake nyumba na badae wakajenga nyumba ya pamoja yeye na mume wake Billnas, sasa leo ametambulisha ngumba yake binafsi. Hata hivyo baadhi ya watu wame sema hii ni ishara ya kuendelea kushindana na zuchu, pia wame sema huu ndo aina ya ushindani unao takiwa. >>>> Hongera sana Nandy Picha zaidi kwenye comment #mastoryupdates

BONGO UPDATES
BONGO UPDATES
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 November 2026 16:07:37 GMT
9974
267
5
0

Music

Download

Comments

kaaaaaddie._
Kaaaaaddie.__ :
Sasa kushindana si maisha yetu jamani
2026-11-08 19:36:12
0
vumilia.muyava
Vumilia Muyava :
honger san
2026-11-08 18:03:56
0
veronicamgongolwa0
iamvee269 :
Mungu azidi kukubariki dada kweli mvua ya Baraka🙌Nandy na Zuchu Wala hawashindani jamani Kila mtu anafanya jambo lake Kwa wakati wake tuache uchonganishi🤣
2026-11-08 18:11:21
0
blissbaby1505
__Catty Cosmetics🧴 :
Sasa mtu asishindane jamani
2026-11-08 18:49:54
0
user2720599623119
jeacette :
wivu tuuu nandy amzidi kwa kila kitu zuchu
2026-11-08 20:48:12
0
To see more videos from user @morehpax, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About