Huyu binti ni under 18, ni mtoto Badoโฆ Hatukatai amekosea lakini ni mtoto bado maybe just 16 or 17โฆ. Kafanya Lkn alikuwa anaumia anatia huruma. Atleast ingekuwa ni mwanafunzi mwenzake tungeelewa . Alomfanya hivyo ni mtu mzimaโฆ Mwenye maumbile makubwa โฆ the worst ni sehemu mbili zote. Trauma au depresssion alonayo huyo binti at that age, hawezi kupona. Na Ukute hamna kitu alichopewa cha maana. ๐ฅน๐ฅน๐ฅนWazazi wawe karibu na watoto wao, madada pia wawe karibu na wadogo zao wa kikeโฆ.. wawasililize mno. Hii ni balehe tu nothing more, labda alitaka kujaribu tu ili kujua how it feels like.