jamani yule dada anayefanyaga usafi kwenye madaraja na mitaro mwenyezi mungu hamlinde jamani[Crying][Crying][Crying]
2026-11-09 08:35:43
217
TANGA_BOY_TZ 🇹🇿💪 :
nilipita Jana apo
2026-11-09 09:04:13
7
ceyraah6 :
N nan uyo kazama
2026-11-09 14:32:17
1
Jaymallo backup 🤫 :
tunao angalia jumapili saa saba usiku 🤣☺️🙏
2026-11-08 21:55:56
62
Sharif Athumani :
usiku katokea upande wapili
2026-11-08 18:36:43
58
zaynab🌹 :
mmeangalia zile movies za kikorea za time Traveller? mtu hua anapotea kama ivo🥴
2026-11-08 22:12:18
32
Alim :
hiyo sehemu ni hatari sana watu wa tabata hivi mpaka gari linazowa trip 6 maji kumanisha ni shimo kubwa hapo hata mtoto anaweza kuzama hata mtu akiteleza tu kwa nini munaishi na shimo kama hili sehemu hiyo
2026-11-09 12:26:59
15
Bugatti 369 :
Hiyoo ni gate portal..
# If You know You know
2026-11-10 12:00:48
1
jacque :
tunaoangalia 23/1/2027 tujuane
2026-11-09 16:47:56
6
Ford Gang🔵 :
napajua apoh maeneo ya tabata dampo pabaya sana tulikuwa tunaenda kuvua samaki, Hao samaki unawaona wanavyo ruka ndani ya maji lakini hupati hata mmoja
2026-11-09 21:43:52
8
Siku Cash point :
watu wamezusha uongo
2026-11-08 19:06:53
2
Man h :
tabata sehemu gani kaka toa code ya location
2026-11-08 19:26:49
5
NIJE NI LIKE?❤️ :
Tabata sehem gan?
2026-11-08 18:51:58
5
Brianna 💝💝 :
kazama wap sas
2026-11-09 15:28:40
0
jr07 :
hii tabata darajan kama sikosei
2026-11-08 22:03:29
1
Swaum 💞 :
tabata sehemu gani
2026-11-09 20:41:34
0
Official ✨Phyner ❤️🌸 :
Tabata ipi Jamni nikuwe makini na hiyo sehemu🥺🥺🥺
2026-11-09 15:30:05
0
CHaBoBo fundi :
Asa Mbona Jana Walivyokuja Wakasema hakuna Mtu Alietumbukia Apo 😓 Maaana Walipekua Sana
2026-11-08 19:34:23
0
shammy_love💝 :
tunaoangalia picha ya kwenye shati la mtangazaj 😅
2026-11-09 06:53:04
4
THE RICH KIDD💰💸🤑 :
Yani mpka Leo wajampata duuh
2026-11-09 05:00:50
3
MchagaWaRombo :
Siyo watu wa fire hiki ni kikosi cha uwokoaji
2026-11-10 06:10:10
1
user63558312678128 :
jaman alipatakana au mbona hamjaturudishia mrejesho jaman😭😭
2026-11-10 06:39:22
1
Boazi brand :
huyo mtu kaingiaje huko?
2026-11-09 10:48:56
2
judithmollel0 :
Mtatafuta mpka majin nawaambia haahah
2026-11-09 03:35:04
2
To see more videos from user @_sirwatson_, please go to the Tikwm
homepage.