@hmahalu: @Wachokonoz

MamaTJ
MamaTJ
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 November 2026 16:35:50 GMT
19342
856
33
111

Music

Download

Comments

hajibakari232
haji bakari :
uongo mimi nisha anguka
2026-11-08 17:59:31
2
mrumamruma6
mruma :
Huu ni uongo sio kila anae anguka mapepo kanisani kapewa script hapana
2026-11-08 17:28:23
2
absalum.sepetu
Absalum Sepetu :
wengine wana anguka kweli
2026-11-09 05:11:46
2
mercyoneworks
MERCYONE ELECTRICS WORKS LTD :
it true
2026-11-08 19:25:52
0
maji_0026
Hewa26 :
Wachokonozi
2026-11-09 03:39:45
0
user2025717025832
user2025717025832 :
kuanguka Ina kua ni hofu mm niliombewa walinibana kichwa mpk nikasikia kufa nikamtoa mkono lkn wapi nikajikaza mpk amalize nikajua aaanhaaa kumbe hapa ninge dondoka tu ningeambiwa Nina ma pepo
2026-11-09 10:26:37
0
kapele.mzee
Kapele Mzee :
kwelii ni uongooo?
2026-11-08 18:22:53
2
reney2482
Reney24💞 :
ni kweli mi pia nilishawahi act kanisa flani ili tu nione mchungaji atafanya nn nikajiangusha🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-09 09:44:27
0
strongmama793
Sakina Masare :
Nakubali kwenye suala la connection ya pesa na mwenye pesa huwezi kuvaibret low frequency halafu ukamiliki vitu vya high frequency that’s why hata upate ma B ya pesa zitakukimbia na kwenda kwa wanaostahili 🥰💪
2026-11-09 05:40:27
1
ibrahim.34sem
ibrahim mo ibra :
utakiwi kuthibitisha aya manenono kwa mihemko kwa hisia zako tafuta ukwel kupitia haya maneno aziwez kufanya kaz hisia zako kama uyu mtu anasema kwel
2026-11-08 21:10:58
1
irineinnocent27
irineinnocent27 :
Wapo wanaanguka. Mimi niliwahi anguka lakini mpaka Leo naamini. Yule mtu alikuwa na majini yake. Naenda kanisani Sana sikiwahi anguka. Lakini Siku hiyo niliyoenda kukutana na huyo Mchungaji kwa mara ya kwanza. Aliomba kuniombea kwakunishika kichwani. Ghafla nilihisi kulegea huku najiona. Mpaka nikadomdoka. Na baadae alinitaka nihidhurie kanisani kwake. Pale niligundua Mchungaji ana namna isiyo Sawa. au ana majini. Ilikuwa ni mchezo mchafu
2026-11-09 06:08:08
0
user7152161258188
user7152161258188 :
wanasema ukisoma sana unachanganyikiwa
2026-11-08 20:36:27
0
sikamonaomary
Dr.Sikamona :
hatari
2026-11-09 06:18:12
0
omary.omary6772
Omary Omary :
hapo usibishe
2026-11-08 19:57:01
0
zachaofficialashe5
Zachaofficial Ashery family :
sio Kweli dakika za jioni
2026-11-08 20:06:09
0
mrkatandala
MrDastan :
huu n uongo
2026-11-08 18:54:03
0
big.brand.alumini
Big brand Aluminium :
mmm
2026-11-08 21:56:06
0
joshua.blackwell89
joshua Blackwell :
Upo sahihi.
2026-11-08 16:56:17
0
zakariamatambali2
Zakaria Matambalila :
fact
2026-11-08 17:50:17
0
leahwillium460
leanah :
hiyo Jambo mama ndo anasababisha umasikini really???
2026-11-09 10:42:47
0
flo.n23
Flo Flora :
huo mchezo unaujua
2026-11-08 18:31:00
0
farajakibonahgmail.com
faraja kibona :
nakuelewa mnoooo
2026-11-08 17:47:55
0
waheed_wahfeeq_alsaleh
mr_soultz :
unamuamini yy kama nan?
2026-11-08 18:26:47
0
1mia_cutie
Mia :
za kuambiwa changanya na za ko
2026-11-09 03:50:35
1
maji_0026
Hewa26 :
chacraz
2026-11-09 03:41:51
0
To see more videos from user @hmahalu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About