@awakenedgiant1: #UnyanyasajiwaKihisia #UhuruwaNafsi #UponyajiwaNdani #MwanzoMpya #DevineEncounter

Awakened Giant
Awakened Giant
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 November 2026 16:41:58 GMT
24445
1353
76
100

Music

Download

Comments

mamy.faith0
Mamyfaith :
Jamani ,,ondokeni Hawa watu sio jamani,,nashukuru MUNGU nimeamka kiroho na nimewatambua,,natamani wanangu niwape hii Siri wajue jinsi ya kuwafahamu na kuwakataa
2026-11-08 17:39:37
22
faymame1
Its fay ❤️‍🔥🦋 :
Ongea haraka nakaa mbali
2026-11-08 22:56:18
0
user7976834926910
mariam :
umenigusa kaka napitia maumivu sana
2026-11-08 17:27:04
4
veronica.shengovi
Veronica Shengovi :
Eee MUNGU inabidi tu niondoke.nna mume ambaye hanihurumii kabisa
2026-11-08 17:25:44
7
user4637680572926
user4637680572926 :
Kweli bro hawa wanatumwa dhidi yako kupitia wale watesi wako wa awali, Nia na madhumuni ni kuhakikisha utoboi ktk angle zote. kibaya zaidi wana msaada wenyewe kwa wenyewe dhidi yako ktk namna ambayo wana - pretend ili uhawamini. Lakini lililo baya zaidi hawaamini uwepo wa Mungu kimatendo hata kama wapo msikitini au kanisani. kuwepo kwqo kwenye nyumba ya ibada ni namna tu wanataka kuwadanganya watu wema.
2026-11-08 17:50:03
8
jasminedamian538
jasminedamian538 :
mi ndio.nafunga virago[Tears of joy]
2026-11-08 19:35:06
2
samirastylsh
Samirastylsh :
Sio rahisi kutoka nakwambia sio rahisi kabisaaa,unatakiwa uwe na roho ngumu,upambane sanaaaa
2026-11-08 18:16:42
11
kisszy82
Akyoo :
💯% true bro, Kama hautojali namba Yako please
2026-11-08 17:58:22
3
jaden.diesel
Joseph dears :
kati ya siku na elimu uliyotoa nimeilewa ni Leo naomba nimtumie hii video yako.
2026-11-08 22:13:30
2
washawasha016
jannat :
yaani. mimi niliolewa Na awo watu..ni ngumu mno kumgunduwa. yaani. uwe unauelewa kweli. kuwaelewa
2026-11-08 19:24:45
2
_ro.ssly
Rossy 💕 :
I'm planning my exit,only stucked on how I'll sell this home coz it's mine and he's not moving out,I'm doing it silently
2026-11-08 21:26:08
1
mag.dzzy
Mag Dzzy :
me nimefanikiwa kuondoka
2026-11-08 18:54:51
3
gwebaofficial
gweba masoud :
yani ni mm ile siku ya nyerere day niliamua nikabeba mizigo na watt na nguo tu nikaondoka na wala akujali at kushtuka japo nimeish miaka 14 kweny.ndoa akushtuka at kuuliza watt wake wako wapi 😂😂 ni atareeee aisee nashukur nimekufatilia.sana unaish na mtu maisha yako anayamiliki anatak uishi anavyotak.hakun uhur wa uchumi.kifup nilikua mfungwa huru
2026-11-08 21:56:44
1
hasna1940
sweet fabiani :
kabisaaaa brother 🤣😂
2026-11-08 22:06:27
1
user2590928290512
Mahsam :
ni hatari sana jmn usiombe hata mimi niliteseka mno
2026-11-08 21:53:36
1
yasminmohammed3089
yasra@ :
thank you
2026-11-08 21:37:49
1
sabedelimitationbreaker
Sabe de limitions breaker :
true
2026-11-08 20:12:20
1
veronica.shengovi
Veronica Shengovi :
asante sana
2026-11-08 17:33:08
2
divivredora
doradivivia 🍎 :
Yes Ni kweli mm nlikuwa Na rafiki but Kabla sijajiunganisha nae sana nikagundua jambo kumhusu nimejitenga nae kabisa Na simtaki Nashkuru Mungu Kwa hili🙏
2026-11-08 21:47:56
1
user9837438117780
user9837438117780 :
mimi nimeshakimbia
2026-11-08 18:23:28
2
doubled339
doubled339 :
2026-11-08 19:31:16
1
veronica.shengovi
Veronica Shengovi :
sasa unakataje uwo muunganiko kama mtu uyo ni mume wako?
2026-11-08 17:31:09
0
veronica.shengovi
Veronica Shengovi :
kweli kabisa umenifungua kaka angu.kwanza hata kumuomba MUNGU unashindwa kwa ajili ya mapito mtu huyo anayo kufanyia.
2026-11-08 17:29:32
1
user3761332681410
user3761332681410 Ruhi :
nikwel %100
2026-11-08 21:34:36
0
rubern47
Rubern :
mmmmmmh.. atarii Mungu tusaidie
2026-11-08 21:55:31
0
To see more videos from user @awakenedgiant1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About