@denri_africatz: Ni mbaya mazee🤌😅😅😂… Mwezi huu, tumekuletea ofa maalum kwenye mabegi yaliyochaguliwa ili uweze kujipatia ubora, mtindo na uimara kwa bei ya kipekee. 1️⃣ Mabegi ya leather, imara na yaliyotengenezwa kudumu 👜 2️⃣ Ubora unaoweza kuhimili matumizi ya kila siku kwa muda mrefu 💪 3️⃣ Space ya kutosha na mpangilio unaokusaidia kubeba kila kitu bila usumbufu ✨ Haya si mabegi kwa matumizi ya muda mfupi..... Tumeyatengeneza kudumu. Chagua begi lako leo. 📍 Mreiny Complex, Sinza Kijiweni 🚚 Delivery: +255 761 970 255 #DenriTz #fyp #foryoupage #creatorsearchinsights #createssightinsight

Denri_AfricaTz
Denri_AfricaTz
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 November 2026 17:03:01 GMT
27070
910
6
65

Music

Download

Comments

last_king900
last_king 👑 :
kwapa mmekiona wabongo au bado.
2026-11-08 18:09:27
5
rajimu_
rajimu_ :
ehe mbona sipat wa ivii😂
2026-11-08 17:55:37
3
jamesonedward13
James Edward :
Me ndo nimetok kwake now na kanuna, otea kisa nini 😅
2026-11-08 22:10:00
0
theodorymafita
ttm2 :
anatako anakufaa blaza kaza
2026-11-08 17:21:09
4
octerdmasy
Young driver🛣️🚛🚦 :
x mkulane tu jmn😁😁
2026-11-08 17:18:12
4
jeandedieu26
Jean Dedieu26 :
🥰🥰🥰
2026-11-08 17:57:24
1
To see more videos from user @denri_africatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About