hapo mnajikanyaga wenyewe tu. Support hua ni 100% sio na support Israel lakini.... what is lakini..
2026-11-08 21:09:15
0
Afrika Sihami :
Hii ndio shida ya Wachungaji wengi, yani licha ya kwamba kwa macho yako unaona watu maelfu wanauwa kila siku, watoto na Wanawake, unachagua kupuuza hayo yote bado una waunga mkono.
2026-11-08 18:00:18
0
koya Ally :
Netanyahu hata kwenye dini ya kiyahudi hajaonekana kwenye masinagogi akisali,nyie simameni kwenye hilo taifa ambalo haliwahitaji nyie kwenye hilo taifa
2026-11-08 21:19:48
0
masoud nzowa :
Unasimama na wauaji wenyewe wanakataana sisi ni nani!?
2026-11-09 04:39:31
0
To see more videos from user @david.kiwool, please go to the Tikwm
homepage.