@mrjustine_: ZERIA: KUTOKA KWENYE MAISHA YA AJIRA HADI KUMILIKI MAGARI MAWILI! Mwaka 2022, Zeria aliamua kuanza biashara ya Network Marketing baada ya kukutana na changamoto katika maisha ya ajira na kutamani kujenga chanzo chake cha kipato. Aliamua kuifanya biashara hii FULL TIME, akajikita katika kujifunza, kufanya kazi kwa bidii na kujenga nidhamu. Matokeo yake, aliweza kununua gari lake la kwanza kwa mkono wake mwenyewe kupitia biashara hii, na sasa anamiliki gari la pili! SIRI YA MAFANIKIO YAKE? Zeria ni mtu wa juhudi, nidhamu na kumcha Mungu. Anaamini katika malengo na kuyafanyia kazi kwa bidii. Pamoja na baadhi ya watu kuiona Network Marketing kama utapeli kutokana na kukosa taarifa sahihi, Zeria anaonyesha umuhimu wa kujifunza, kuelewa biashara na kuifanya kwa uaminifu na bidii. JE, NAWE UNAWEZA KUANZA? Biashara hii inaweza kuwa fursa kwako kama: * Wewe ni mwanafunzi unayetaka kujenga kipato. * Wewe ni mwajiriwa unayetafuta kipato cha ziada. * Huna ajira lakini una ndoto kubwa. * Una mtaji mdogo na muda wa ziada. * Umechoshwa na kutegemea mshahara pekee na unatamani kujenga biashara yako. HII SI BIASHARA YA KILA MTU. NI KWA WENYE NDOTO, MALENGO NA UTAYARI WA KUJIFUNZA, KUJITOA NA KUFANYA KAZI. Usisubiri maisha yabadilike yenyewe. Chukua hatua na anza kujenga ndoto zako leo! 📲 WHATSAPP: +255 762 321 378 Tuma ujumbe NAHITAJI KUJIFUNZA BIASHARA upate maelezo ya namna ya kuanza. NDOTO ZAKO ZINASTAHILI JUHUDI ZAKO!
Mr Justine’s
Region: TZ
Sunday 08 November 2026 17:34:59 GMT
Music
Download
Comments
Kidume_nguvu :
zery
2026-11-09 07:32:52
0
To see more videos from user @mrjustine_, please go to the Tikwm
homepage.