Siku nikipata msichana atakaenipenda nitalia mbele yake maana kila ninaemtaka ananikataa nahis kujichukia mwenyew ninapoona boyz wenzangu wanafurahia mahusiano 🤔😥
2026-11-09 15:49:19
0
PONDA MALI :
hahaha
2026-11-08 18:56:32
1
Mdeda Aliba :
sina ng'ombe ila mziwa nakunywa kuna maeneo ukipita unakuta wamejipanga wanakuita wenyewe tu🤣
2026-11-09 18:05:18
0
Fungile :
jamani niko hapa ila usiwe na watoto wengi nipo tiali
2026-11-09 17:03:31
0
jescaeliasi661 :
unaongea na mim apo ila sijali
2026-11-09 17:36:56
0
Pricilla :
nipo single kwasababu wanaumebmnatuumiza sana bola nipambane na life yangu tu mapenz yapo hayaishi
2026-11-09 14:59:48
0
Nuwaila product :
nipo mwaka wa 5 nasijali wala nini mana kila ninae pata wana chuwa nachoka mimi🤣🤣🤣