@maguisratv: Kuna Shemeji Yangu Nimemfukuza Nyumbani Kwa Sababu HII" wakili peter madeleka #maguisratv #wakilimadeleka

MAGUISRA TV
MAGUISRA TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 09 November 2026 06:00:00 GMT
136451
6618
151
190

Music

Download

Comments

djsimba5
DJ SIMBA 🏌️ :
No one can steal my sticker 😁
2026-11-09 18:47:10
0
sensema_1
TITO🥁🪘 :
nisome afu unipangie pa kuajiriwa
2026-11-09 07:13:59
78
sophygili3
Sophy :
Ndio maana sipendi kukaa kwa watu 😂😂😂
2026-11-09 08:40:13
49
pleaseumoj1
Please :
ndo unitangaze Sasa,namuijia dada angu
2026-11-09 07:21:01
26
deniskabanga319
## :
Huyu jamaa nilikua na muheshim Lakin kumfikuza ndugu ako kisa mambo ya kiofisi huo naona ni ujinga kabisa....
2026-11-09 08:09:03
29
joyceabila5
it's me🤗 :
😂😂😂nani kisikia sauti ya murat kama mm jmn😅
2026-11-09 07:11:04
11
nutritiontips15
Nutrition & lifestyle🥗 :
Ivi kuna kazi ilionyooka bila uongo 😳
2026-11-09 11:56:46
9
tinamuzo2
Tina :
haijalishi kwanini akutegemee miaka yote hata kama ni kazi za uongo mwache afanye ajifunze ajitengeneze ajiimarishe atafute pesa.some day ataamka atatoka.
2026-11-09 08:10:32
9
mc.kikoti
Mr.kikoti :
Hata Mimi nilimfukuza mdogo wangu wa kiume kukuta ameomba kazi ya ualimu
2026-11-09 11:36:07
8
icarus.wing
Icarus Wing :
Kesi za uongo 1840
2026-11-09 13:01:59
1
jay.obligater
jay obligater :
Mimi kazi nafanya babuu
2026-11-09 08:02:53
5
thereallyt
It’s T🌱🌱 :
Wivu tu kwann ulimfukuza
2026-11-09 09:48:42
12
1mukhi1
️ :
Kwahiyo nisifanye kazi kwasababu ya shemeji 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-09 08:39:46
7
jakkadihha
⚖️ :
madereka tunakuitaji bado punguza moto
2026-11-09 07:25:22
9
dullahbayern
bayern :
sasa yeye anatetea wangapi na wamefanya makosa ya kweli na yeye anawatetea😂😂😂😂
2026-11-09 10:35:34
7
nseifsaid
N Seif Said :
sasa nyinyi mawakili mbona munatetea maovu manabadilisha ukweli na ukawa uongo
2026-11-09 11:17:22
5
user1942053495546
Abrah cadabra :
ndio mjue hawa watu hawitakii mema nchi
2026-11-09 11:34:02
3
nimekoma
Silvano Lujegi :
siyo vizuri kunitangaza mtandaoni shemeji😳
2026-11-09 11:26:48
3
maxmilianous.moha
maxmilianous mohamed :
Hiki ndo kitu kinachotuchelewesha waafrika...uongo uongo na kuwa watukufu mda huo huo
2026-11-09 08:41:57
6
bannybalila
Banny Balila :
apo ulikosea wakili, kila mtu ana haki ya kuajiriwa kama amesoma na kama anataka kuajiriwa
2026-11-09 09:12:57
1
jumanne.ally959gm
Jumanne [email protected] :
safisana
2026-11-09 08:37:46
2
giftmwaluko
Kigogo jr :
😂😂😂hahaha madeleka
2026-11-09 06:35:40
4
real_abdy254
@RealAbdy :
mimi ndo shemeji yake sasa😁
2026-11-09 07:19:12
2
john.kajumuro
Johnson Kajumuro :
dahh huyu jamaa concius sana
2026-11-09 07:33:25
2
godfreyjosephat47
Godfrey Josephat :
mtazamo tu
2026-11-09 07:01:22
2
To see more videos from user @maguisratv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About