sio bure hawa watu wanaguvu sana,
nyuma yao sio bure
2026-11-09 19:02:40
3
Masika Abdallah :
Yaa Allah muongozee huyu mja
2026-11-09 13:13:27
2
SKIMMERER :
Allah forgive us
2026-11-09 18:23:25
0
Kadala Poultry Farm :
Hawa nao wakatoliki?
2026-11-10 01:08:50
0
BeingMrsT๐ซฆ :
rest easy Magufuri ๐๐ป
2026-11-09 14:00:31
3
Hiphopnext :
Serikali hii ndio imetufikisha hapa watanzania๐ญ
2026-11-09 08:43:17
7
Mwalu Abbass :
unapata wapi ujasiri wa kumuongelea Muheshimiwa km hivyo
2026-11-09 13:19:29
5
mpemba43 :
Mungu tupe mwisho mwema
2026-11-09 18:59:05
3
KY mnija :
sauti kama ya mama
2026-11-09 09:22:56
0
Simai :
Kwani watu wasio juilikana haya maneno hawayasiki au hayawaumi mbona wanatamba waotu mitandaoni TSRA wapo wapi au uchochezi kwenye siasatu maana muliro upo wapi ๐ณ๐ณ
2026-11-09 13:44:33
3
mshangazii :
kweli nchi IPO wazi viongozi wanachimbiwa mikwala na kina anko
2026-11-10 07:17:47
0
dogo lani :
manara ni kibamia wenda
2026-11-09 14:12:54
2
Dury k Kalembo Brand :
mh Dunia iko Kasi San ๐คฃ๐๐คฃ๐๐ ๐คฃ
2026-11-09 06:02:05
3
hurly :
jee mie niuliza sikithibitka zisambazwee
2026-11-09 12:28:52
1
asmahani :
ewe mungu tulinde sisi na vizazi vyetu
2026-11-10 06:25:00
0
sara kijumbe :
jamani naomba nicheke ๐๐๐
2026-11-09 13:12:53
1
Halfan mbonde :
2026-11-08 21:15:23
5
Bablas :
Msishindane nao hao ni noma hatuwawezi wachatokwa fahamu kwa kugongwa wapo wazi hao muachieni Mungu
2026-11-10 07:28:40
0
Soud Saidi :
hawa sio bure kuna sehem katika serikali wanalindwa
2026-11-10 07:20:53
0
Esha_official88 :
sio Bure wasingejiamini kiasi hicho hii nchi inakoelekea aisee kwanini anapata ujasiri
2026-11-10 07:05:57
0
BABA WILson16 :
najarbu kufkil tu hv magufuli na yeye asingewaweza?na Kwanni Sasa hv wanajtokeza Sana Hawa watu?
2026-11-10 06:52:59
0
ZAHRA :
duuu anamaziwa kumbe Allah akuongoe kaka angu kabla ya mauti hayajakufikia ๐๐คฒ
2026-11-10 05:07:45
0
๐๐ฉ๐ฆ๐ซ๐ก๐ข๐ฏ :
2026-11-09 08:41:39
0
To see more videos from user @yom_don01, please go to the Tikwm
homepage.