@bakarially30: Jifunze kueshimu #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #congolaise🇨🇩 #

Bakarially30
Bakarially30
Open In TikTok:
Region: DE
Sunday 08 November 2026 18:38:58 GMT
29692
1590
69
97

Music

Download

Comments

seif.abdallah61
SEif ABdallah :
ndo mana marekani hawakupata mshirika wa kumpiga Iran waliogópa historia
2026-11-08 18:56:14
18
leeboy615
Dollar Lee Wazzer :
iran to the world💪💪
2026-11-08 18:52:53
5
user824319352419
Kativo Kativo :
Iran ni taifa lisilo mchokoza mtu yeyote ila ukijichanganya kazi unayo
2026-11-09 02:53:04
8
dasilvajunior38
Da Silva Junior :
ni kweli broo hata hudanganyi
2026-11-08 19:49:40
2
murab147
Mura-B :
tofautisha Iran kabla ya 1979 – Imperial State of Iran Kiongozi wa nchi alikuwa Shah na Islamic Republic of Iran – Kuanzia 1979, iran ya sasa imehusika na kuwaua wairan zaidi ya elf 40 walioandamana January na kufunga misikiti zaidi ya elf 50 kwa kukosa watu
2026-11-08 19:21:48
2
.peace526
✌️ Peace :
nikweli kk yangu ujuwe Iran ayijawayi kuwa koloni yataifa lolote Iran ni watu wa Mungu wana mutumikia Mungu kwa nguvu zao zote Mungu awezi kuwatupilia watu wake
2026-11-09 04:53:53
3
salum.ahmady
Salum Ahmady :
vip kuhusu Alexander the great mwaka 37kk ilikuaje
2026-11-09 05:36:59
0
user8182330272940
bii aisha :
Allah u kariim
2026-11-08 18:48:30
8
binally.tz
Bin Ally :
Mongols haija angushwa na Iran Ottoman Caliphate haija angushwa na Iran Naona una zungumza kwa Mapenzi sio fact
2026-11-08 19:17:55
0
littlerabbit360
METLUX UNLOCKED :
Iran ikisema ifanye inachokifanya marekani na Israel, mashariki ya Kati nzima na ulaya zinaweza kuwa koloni lake.
2026-11-08 20:44:21
7
honeybadger2trueboy
#MINAB168🇮🇷 :
very true 🫡🫶
2026-11-09 04:58:54
0
iddyiddy4
Iddy Iddy :
sisi wairani tunalindwa na MUNGU
2026-11-09 05:35:29
1
hossein.yusuph.ma
Hossein yusuph Malenda :
upo sahii sana kuna mchungaji mmoja kabra ya vita aliniambia awawezi kubadilish uongozi pale Iran haijawai kutawariwa toka enzi ya manabii na taifa kongwe
2026-11-08 19:30:33
3
ibrahimeustadius
Ibrahim Eustadius :
mbona umechelewa sana kaka leo ila bado tupo nawe
2026-11-08 18:44:29
4
kakaa.great.tz
KAKA'A great Tz 👍 :
Irani ni baba wa mataifaa na ni super powerful 👏 balaaaa🥰🔥
2026-11-09 07:17:42
0
suleymanhamza833
Suleyman Hamza :
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 waeleze Waelewe kiongozi wang
2026-11-08 21:14:58
1
speratusladislausgmail.c
YUIMU :
fact 🦾
2026-11-09 06:34:39
0
abdulhamidu239
tiger 😆🥰😍🤑 :
sahihi
2026-11-09 06:44:16
0
chidyboy3618
Chidy Boy :
vibaraka wa netanyau na Trump Wana Hali Gani uko
2026-11-09 05:27:29
0
99coding
elisha Majanja :
nakubaliii mshua
2026-11-09 03:25:07
0
salum.said7
Salum said :
daa
2026-11-09 07:24:35
0
hemedi067
Hemedi :
Ukweli mtupu
2026-11-09 07:04:57
0
bakarobopa
obopa :
Ubarikiwe
2026-11-09 07:27:01
0
masunga.gambalama
Masunga Gambalama :
Macedonia haikuanguka
2026-11-09 05:41:46
0
chao27048
Chao :
duuh kumbee
2026-11-08 18:52:57
0
To see more videos from user @bakarially30, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About