Halafu kuna katoto kangu mimi jaman eeh Mungu nisaidie 🤣
2026-11-08 20:59:53
7
expensive 🇰🇪 :
thanks cameraman nimemuona vizuri baby boy 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🥰🥰
2026-11-09 21:50:38
0
Annamluge :
hongera sana mjukuu wangu 🥰🥰🥰
2026-11-10 04:07:00
0
Jesca Malata :
good boy
2026-11-09 08:20:27
0
grace samwel :
MUNGU akubaliki
2026-11-09 20:33:31
0
Mary Elegance Store😋 :
majivunia kua mkatoliki
2026-11-09 16:21:42
0
Gee✨ :
me nlivokua mdogo nkiambiwa nicheze😂😂💔
2026-11-09 08:29:25
2
fides :
huyo mtoto ....
raha tupuuuuu😆😆😆😅
2026-11-09 08:38:51
6
Peter Christer :
Mungu akuinue viwango vya juuu zaidi
2026-11-09 17:49:58
0
norahmike509 :
Nampeda huyu mtoto🥰🥰🥰🥰
2026-11-09 19:31:15
2
Mtani Rozalia :
umuimbie Mungu maisha yako yote kipenz 🌹🌹😍
2026-11-09 08:32:37
3
Leopold Mujaki 🇹🇿 :
ninayo mengi mazuri ya kusema juu yenu ila nafasi haitoshi itoshe tu kisema Mungu awabariki sana kwa uimbaji mzuri uliotukuka unaobariki
zaidi mbarikiwe kwa kuona kipawa cha Malaika huyu na kumpa nafasi adhihirishe utukufu wa Mungu kwa kipawa chake.
Mungu awatunze sana..
2026-11-09 05:35:08
3
🤍💙ñøüřęẹń🦋🍁💦 :
Tunakapenda vp 😁😁
2026-11-09 13:28:00
1
Boss :
2026-11-08 21:14:05
0
tms :
kalivyo na sifa sasa kakiona camera😂❤❤❤🙏
2026-11-09 20:14:25
1
☠️👀 :
daah nilikuwa kama ivi ila imebk historia t 😂😂😂
2026-11-09 07:01:10
0
Min shantel 🥰 :
Amazing boy
2026-11-09 07:53:18
1
Naomy Sanga :
Umemsahau mpiga ngoma
2026-11-09 03:52:02
1
To see more videos from user @bongosource, please go to the Tikwm
homepage.