@paschalcassian04: 🔥 JENZII – COMING SOON! 🔥 Kuna kizazi ambacho hakipaswi kupotea. Kuna vijana ambao bado wana nafasi ya kurudi kwa Mungu. JENZII, huu si wimbo wa kawaida. Ni ujumbe, ni wito na ni sauti ya kizazi kipya! Hatukuja kuwahukumu vijana, tumekuja kuwakumbusha kwamba bado kuna tumaini ndani ya Kristo Yesu. JENZII, TURUDI KWA MUNGU! ❤️🔥 🎵 WIMBO MPYA: JENZII 🎤 PASCHAL CASSIAN ⏳ COMING SOON! #JENZII #PaschalCassian #TurudiKwaMungu #gospelmusic #tanzania
Chapa kazi ya Bwana, safari bado tuombeane ili tusichoke njiani❤️❤️❤️
2026-11-08 19:06:41
1
RAISI WAOO :
🔥🔥🔥🔥 iyo niya moto sanaa
2026-11-08 19:09:25
1
ARON FAYA nissi :
kweli kabisa
2026-11-08 19:09:20
1
Abigail :
Amen niwakati wa majenzi kukombolewa sasa hivi wamjue MUNGU hallelujya
2026-11-09 12:43:03
2
PRODUCER DJ EMA BASANZA :
mwenye maarifa ataelewa hii kitu ila ukikurupa huwezi kuelewa
Hosea 4:6.
“Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.”
— Hosea 4:6 (Biblia)
Huu ni ujumbe unaotukumbusha umuhimu wa maarifa ya Mungu, kujifunza Neno lake na kuishi katika kweli yake. 🙏
2026-11-08 19:20:27
2
Yohana Mussa subaida :
mimi nakupenda sana mtumishi ila hio ishara ya picha ni ya yule mwenye pembe
2026-11-08 19:48:22
2
chifu mkuu :
hongela sana mkuu huduma yako naipenda sana mm naninakufatilia kila siku mm nipo naww kwenye mitandao humu