@alakhyabuhashim: haya ndo maelezo kamili ya sheikh kuhusu ndoa kwa nia ya talaka الشيخ السليمان الرحيل حفظه الله #fyppppppppppppppppppppppp #fypシ゚viral #الزوج #الطلاق
kuna vita baina ya waislamu yote yanatokana na waislamu wenyewe wa zama hizi kutukanana badala ya kuheshimiana na ahlu sunna wameshika bango la matusi kwa waislamu wenzao wanaotamka shahada
Sheikh anaelezea kuwa ni haramu kwa mwanaume kumuoa mwanamke hali ya kuw mwanaume ameazimia moyoni mwake kuwa atamuacha mke huyo baada ya muda furani...... Allah amuhifadhi sheikh wetu
2026-11-09 03:53:03
9
Abdumalck Ramadhani :
mshekh wa kisalafi(answarul sunnah)wanaruhusu ndoa hii saudia/dubai/kuwaiti wanaruhusu
2026-11-09 04:12:41
1
user4317748545124 :
Mimi Nasha ngaa mbona Kila mwenye vitimbivyake basi uwafanyia Assalafiyya Shiy umuonyeshea kidole salaf hibadhi Sufi nk..hawaote wenyewe kwa wenyewe safitu hatakama atasema mmojawao Jana nimezungumza na mtume wao kusema ni karama lkn kosa la salaf ni kupoteza watu ktk dini lkn walillahlhamdu. wameyakosa makosa ya kukosowa ya hakki wameishia kusema uongo hii nikujulisha ya kwamba Assalafiyya ni kikundi kilicho ongoka inshaaAlla katika njia yasawa wanajilazimisha
2026-11-09 12:18:27
1
a_man_Tz :
Allah awalaani mashia imamia, wanakata maneno ili kuwatukana masheikh zetu
Kuna watu wanawashinda mashia kwa matusi kuwatukana mashaba na wake za mtume swalla llah Alayhi wasallam. Mbona husemi hilo?
2026-11-09 15:02:37
0
Rajabu Shabani :
SHEIKH KAELEZA PANDE ZOTE MBILI KAELEZA KUWA UPANDE WA KWANZA KWAMBA MASHEIKH WA KIWAHABI WANARUHUSU
KISHA AKAEKEZA UPANDE WA PILI KUWA WAPO WANAO HARAMISHA NA YEYE KABAKI NA MSIMAMO WA WALE WANAO HARAMISHA
2026-11-09 05:37:33
1
فتوى الشيخ صلاح الفوزان :
sasa wasikiliza ji ni wengi na kiarabu hawajui kwahiyo ulie toa klipu iwekeee na manen ya kiswahili ili wapate kuelewa sio kama yule shia alie fupisha hiii clipu mpaka watu wakaanza kumtumu shekhe
2026-11-09 03:35:21
3
AI walulu :
hapo ndo unaamin pahe humeyd anaposema juu ya mashia wakikwambia maji ya bahar yanachumvi usiamin mpaka utakapoyaoja kwaulimi wako uhakikishe kweli yanachumvi😂
2026-11-09 09:40:17
0
ابو فرحان :
🙏🙏🙏
2026-11-08 20:21:33
0
Abou Zainab :
😳😳😳
2026-11-09 17:43:07
0
To see more videos from user @alakhyabuhashim, please go to the Tikwm
homepage.