ILA MI NAONA MJOMBA YUPO VIZURI TUH ILA WATU WANA MCHAFUA KWASABAB WANAPENDA WATU WAHARIBIKIWE
2026-11-08 21:55:27
29
abdul mussa :
[Surah Al-Ḥujurāt: 12]
Enyi mlio amini! Jiepusheni na dhana nyingi, kwani baadhi ya dhana ni dhambi. Wala msipelelezane, wala msisengenyane nyinyi kwa nyinyi. Je! Yupo katika nyinyi anaye penda kuila nyama ya nduguye aliye kufa? Mnalichukia hilo! Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kupokea toba, Mwenye kurehemu.
2026-11-09 06:22:55
6
Heritage studio :
mi seba anipigi ata kidogo
2026-11-09 16:06:02
4
Kennedy Lucas :
Kwamba Ambulance haina tuwiuwiuuuu🤣
2026-11-08 21:15:29
14
rayza :
duh
2026-11-09 18:50:17
2
MR bright :
sahihi
2026-11-09 05:07:25
4
MR LOVE 32OG :
kutoka kwenye seba mpk sebastiani
2026-11-09 22:05:03
2
Nelson 🫵 :
apo dodoma haina zabibu
2026-11-09 13:58:55
2
Ramsey :
Karaoke labda 😅
2026-11-09 20:09:26
1
Leonard Matiko :
niamini kua watu hawaogopi kitu
2026-11-09 12:07:11
2
Sadiq001 :
huyu msela amelewa tu...hajasaliti chama bdo tupo nae
2026-11-09 16:57:20
1
Brayton Dominic :
DUUUUH JAMAN SEBA SEBA JAMAN MUNGU WANGU
2026-11-09 12:48:49
2
amina :
huo ndio uhalisia j blass
2026-11-09 18:20:30
1
Rommeo255 :
Nendeni msearch Jarafat Studio mtamuelewa Seba Hivi Vi short Clip Vinaponza Sana
2026-11-09 20:35:33
1
saidimahimbo852 :
Ila ni matatizo ya kawaida
2026-11-09 20:51:22
1
Sebastian wasafi family :
sasa imekuaje tena aah 🥺
2026-11-09 14:57:51
1
MANADJA 艾玛经理 :
Sasa tatizo liko wapi
2026-11-09 11:00:00
1
Kiisha Eye Care :
Jamani Jplus yupo Duniani
2026-11-09 06:22:14
2
Titan :
Tanzania haina Dar es salaam
2026-11-09 13:45:35
1
abuu DIZZERU :
dodoma haina zabibu
2026-11-08 20:10:17
1
fage cody9 :
hali ni mbayaaa
2026-11-09 08:15:47
1
boss lee :
kumbo wapo wengi cn
2026-11-09 10:48:38
1
khalil :
dunia ipo kasi sana kbbbbkeeee [Tears of joy]
2026-11-09 13:50:22
1
To see more videos from user @frankmanyilizu1, please go to the Tikwm
homepage.