@islamicswahilinet: MUABUDU ALLAH RIZQI NI JUU YAKE YEYE Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 November 2026 19:46:24 GMT
15682
2454
18
113

Music

Download

Comments

uswahili.kupendeza.pishi
Uswahili.kupendeza.pishi Pambe :
Taqbir
2026-11-09 04:20:16
0
user5706371671506
kibibi uwesu :
alhamdulilahi labila alamina
2026-11-09 07:20:39
1
eshaayushi
ayushi :
alihamdullah
2026-11-09 08:20:03
0
user398029436382
aisha chaurembo tz :
Mashallah
2026-11-09 10:30:03
0
ahmed.kalhata
AHMED BURHAN :
Allahuaqbar
2026-11-09 08:12:30
0
umuruumy
ummuruumy :
Allah Akbar
2026-11-09 06:49:08
0
wondertx00
Back town to gereg 🚫🔧 :
Allhamdulilah
2026-11-09 04:12:19
0
khansaa.ahmed00
khansaa ahmed :
الله اكبر
2026-11-09 05:31:21
0
mwanaishahaji92
Mwanaisha haji :
maashaallah
2026-11-09 03:57:17
0
user6000638661638
@Digobae🦋🦋🦋 001 :
Hakika
2026-11-09 01:59:13
0
jiiii944
jiiii :
2026-11-09 08:08:26
0
hawa.simbeye3
hawa simbeye🧕 :
Allah akbar
2026-11-09 06:52:48
0
user5336717745698
he it's Jeff :
mashallah
2026-11-09 06:44:48
0
jobe5008
jobe :
Allhamdulilah
2026-11-09 04:09:52
0
abuutz36
Abdallah 🇹🇿.. :
Allah akbar...
2026-11-09 03:06:56
0
mbossobellnigham
mbossobellnigham :
🥰🥰🥰
2026-11-09 05:24:08
0
mamakahab7
zahraa :
❤️❤️❤️❤️💕
2026-11-09 04:03:37
0
mfanyakazi.huston
MFANYAKAZI HUSTON :
🥰🥰🥰
2026-11-09 03:59:03
0
badin061
It’s me badishka :
🥰🥰🥰
2026-11-09 06:51:03
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About