@simbascofficial: SEMENI NYIE.

Simba Sports Club
Simba Sports Club
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 November 2026 20:26:53 GMT
69678
4180
67
80

Music

Download

Comments

christina.mandala6
Christina Mandala :
alideshi akamupigia mikato ileeeeh akamwambia som namba hiyo ni 34 my burether 😂😂😂😂😂😂🇨🇩🇨🇩
2026-11-09 06:15:14
23
abdulchielin26
Abdouly Chielini🇧🇷 :
Jaman imetosha watan🥺🙌
2026-11-09 11:43:20
2
ba.charlotte.ba.c
Emerson💪💪💪 :
KWAKO JAMES SAMWELI "Ame feint na akampigia mikato ile djgue diara ametazama tu uso na macho aka mtisha ka anaend kulia aka desh kushoto akaimaliza kwenye nyavu kamuacha beki mmoja licha ya kwamba bacca ana nguvu sana lkn kalamba nyasi djgue diara mbele yake ni elie mpanzu kibisawala amemwambia soma namba hiyo ni 34 ya hatari ame desh kulia akaenda kushoto kwa guu la kushoto akaiweka kwenye net elie mpanzu kibisawala amekuwa akitengeneza saaaaana sas ana bonda na ananyonga come back ya hatari. 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🦁 🦁 🙏 🙏
2026-11-09 14:33:18
5
jaykid_tz5
jaykid* :
lazima tukumbushane bna watu tumeumbiwa kusahau 😁
2026-11-09 05:30:14
8
my.me253
my me :
twende mbele turund nyumba huyu mtangazaji ni simba maana kalitendea haki goli la Eli mpanzu
2026-11-09 06:08:45
6
mo_m.b.a
M.O.M.B.A🍀 :
This iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiis?
2026-11-08 20:35:54
4
hijaby111
Hijaby🌸 :
Amefaint na akampigia mikato ile,Djigui Diara ametazama tu,uso na macho akamtisha ka anaenda kulia akadesh kushoto,akaimaliza kwenye nyavu,kamuacha beki mmoja licha ya kwamba Bacca ana nguvu sana lakini karamba nyasi Djigui Diara,mbele yake ni Elie Mpanzu Kibisawala,amemwambia soma namba io ni 34 hatari,amedesh kulia,akaenda kushoto kwa guu la kushoto akaiweka kwenye net,Elie Mpanzu Kibisawala,amekua akitengeneza saaaaaaaaaaana,sasa anabonda🦁♥️
2026-11-09 17:06:37
2
evance.jr2
Evance jr :
welcome simba feisal ♥️
2026-11-08 20:42:23
1
zainabu_faraja
zainabu ❤️😍🥰 :
soma namba hiyo ni 34 eliii mpanzu
2026-11-08 20:37:35
3
davie_976
GOMES 8 :
😁😁 tuseme Nini na hatuna sha sha man
2026-11-08 23:26:10
1
hadsongwimile
Hadson Gwimile :
tunakiwasha tu muda woteee
2026-11-10 05:42:38
0
bahat233
Samflex 💯 :
Prime R9
2026-11-09 15:16:37
0
itsjairany
its jairany official :
KWAKO JAMES SAMWELI "Ame feint na akampigia mikato ile djgue diara ametazama tu uso na macho aka mtisha ka anaend kulia aka desh kushoto akaimaliza kwenye nyavu kamuacha beki mmoja licha ya kwamba bacca ana nguvu sana lkn kalamba nyasi djgue diara mbele yake ni elie mpanzu kibisawala amemwambia soma namba hiyo ni 34 ya hatari ame desh kulia akaenda kushoto kwa guu la kushoto akaiweka kwenye net elie mpanzu kibisawala amekuwa akitengeneza saaaaana sas ana bonda na ananyonga come back ya hatari. 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🦁 🦁 🙏 🙏
2026-11-09 13:29:11
1
aidan.polojunior
Junior🥀 :
oyaaaa
2026-11-08 20:32:26
1
dan.walker479
Orlando pirates fan's :
see you soooon
2026-11-09 01:00:32
0
eddycurrent32
@Kingsley junior :
ronaldo
2026-11-09 16:36:13
0
user774079273136
Tiffaa :
limetoka goli la chama,sasa hivi tunatamba na goli la Mpenzi😍😍
2026-11-09 21:59:10
0
bobseif20
Bobseif20 Baby :
Simba damu
2026-11-09 19:02:09
0
starboe67
starboe.. :
2026-11-08 20:30:32
2
user818760961972
user818760961972 :
james samwel anajua
2026-11-09 15:56:16
0
florence.simon11
Florence Simon :
Ronaldo nazario na mbappe
2026-11-09 18:10:19
0
portal_bet
Portal :
mbona la mpanzu ndio Kali zaid
2026-11-09 17:57:16
0
bakhaisamu
DEEKHAM :
mnasifa inatosha bana
2026-11-09 16:37:34
0
rayeditz49
Dylez :
mpanzu ali dash kufeint lakini R9 alipiga scissors feint 😅😅😅😅😅😅 unafananisha ambavyo ata aviendani
2026-11-09 16:38:57
0
petrojackson546
Petro Jackson :
bado hamjasema mpaka mseme nyie ni wadada sio wadada we are simba we are predator
2026-11-09 16:39:17
0
To see more videos from user @simbascofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About