@merfes30: It's a step I took to be called a mother, thank God. 🙏🙌#kenyantiktok🇰🇪 #pppppppppppppppp #CapCut @grace G9 @It's hellen @Aiem🌸anny💫💫

merfes💕
merfes💕
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 November 2026 20:54:36 GMT
42695
1862
202
74

Music

Download

Comments

bertha.aman
🌚🌚🌚 :
Natamani desember ifike nimpokee mwanangu japao ni maumivu lakini nitajikaza
2026-11-09 11:27:13
22
winifridajohn785
Mama G saloon :
Mungu nisaidie nkiwa leba nisijigalagaze wala kupiga makelele🙌🏾🙌🏾
2026-11-09 14:21:12
21
nightangel739
Girl 👧 :
mungu awape nguvu yakujifungua salama
2026-11-09 11:28:59
2
kipusa13
Hi it's me 🌴💐🌻🌹 :
nina mimba ya mtoto wa 3 lkn nikifikiria uchungu uwiiiiiiii utazan ndio naanza😂😂😂
2026-11-09 12:17:36
10
mrsfasco1
mrs fadhil :
mungu nisaidaie mie mwez wangu ndio uuu
2026-11-09 16:11:11
3
ladyblazee4
ladyblazee :
kama mwanangu wa kwanza nilizaa nikiwa na miaka17 naniliweza bassi huyu wa Tano nna miaka38 naimani mungu atanipa nguvu zaidi ya yule wa kwanza nanitatika salama🙏
2026-11-09 15:45:19
4
veronica.magoha
Veronica Magoha :
Nakataa uchungu wa laana nikifika leba kwa jina la yesu na ikawe ivyo🙏
2026-11-09 14:58:27
6
user4071261682140
tik tok :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]mm nililala uko chini ya uvungu [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-09 13:50:21
1
smartfighter55
Mrs OCT OFFICIAL 🦅💍🤍 :
Mungu nisaidie Mimi Ndio kwanza Ina week 3 🙌🙌
2026-11-09 17:10:13
1
nasmasume
nasma abdul :
pole my
2026-11-09 11:53:01
1
mwajuma.saidi395
second planet😘😘 :
jamn labour paheshimiwee
2026-11-09 12:37:52
1
baby322gal
baby girl🎈 :
Hii sik sito isahau jmn khaaa!!!
2026-11-09 17:39:51
1
irenesinyorita
Ryn💕💕❣️ :
fika tu ntajikazaa 🥺🥺
2026-11-09 18:57:10
1
mwanaisha.ally01
aisha :
niliingia leba nikiwa na ujasir tu najikaza kumbe mambo yalikua badoo weee baada ya lisaa mi ndo nikawa mwenyekiti wakulia
2026-11-09 18:59:05
1
millydan1
millydan1 :
sorry mama🥹
2026-11-09 12:13:19
1
bechamagirl0
bechama- girl🌺 :
mwezenu na mimba jamn kwan mnataka kunifanyeje🥺😂🙌
2026-11-09 09:40:52
1
marydaisy40
marydaisy🌺 :
😅🤣🙌utarudia tena?
2026-11-08 21:22:38
1
user3704814547716
Maua💞 :
jni dah polee mie adi naogopa but ndio nipo uko sjuhi uwiii ninavyojua kulia
2026-11-09 06:06:30
1
ney.cuty1
Ney Cuty :
pole sitakaa nisahau mimi jamanii
2026-11-09 17:41:28
1
mamaafrica42
babe mama💞💋💝 :
jamn 🙄✍️haya tena mbn ntakoma😀😀😀
2026-11-09 11:34:53
1
user5960146715549
Latifa ♥️♥️ :
Nikikumbuka sitamani aha
2026-11-09 13:15:04
2
user2881614947594
Momee :
mama angu ni jasiri jamn natamn kuwa jasiri pia niitwe mama☺️☺️
2026-11-09 14:37:15
1
gudgalley
Gudgalley :
Ila umetoboa??Hongera dr me nadata [Crying][Crying][Crying]
2026-11-09 08:06:35
4
user1581367215106
morine kimath♥️♥️ :
poleni sana mungu awasaidie
2026-11-09 06:01:27
2
ollylover7
K C M :
Hapo ndo nlimsalimia nesi shikamoo MUNGU😂
2026-11-09 11:55:42
3
To see more videos from user @merfes30, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About