@swiiftiphonecenter: 🚨 IPHONE ORIGINAL AU FAKE? UNAJUA JINSI YA KUCHUNGUZA? 📱 Kabla hujanunua iPhone, kuna vitu muhimu unavyotakiwa kuangalia ili usije ukatapeliwa! 👀 Leo nimekuonyesha code ya *#07# na namna ya kuchunguza taarifa za simu yako. Lakini kumbuka, code hii pekee haiwezi kuthibitisha kama iPhone ni original au fake. 🔥 Usinunue iPhone kwa kuangalia muonekano tu! 💾 SAVE video hii ili usisahau. 📤 SHARE na rafiki anayepanga kununua iPhone. 💬 COMMENT: Umewahi kukutana na iPhone fake? FOLLOW @swiiftiphones kwa elimu zaidi kuhusu iPhone, Android na teknolojia. #iPhoneTips #iPhoneOriginal #iPhoneFake #SwiiftiPhones