@mc.baruti: Mom And Dad Challenge 💕

MCBARUTI
MCBARUTI
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 09 November 2026 01:32:57 GMT
131217
11221
159
67

Music

Download

Comments

naahymushi
Eun💞💖 :
Daah Sina mzazi ata mmoja😭
2026-11-09 05:36:15
113
brendapaulo373
brendapaulo373 :
Mama anapiga ila anatufundisha baba apigi mara nying ila aliwahi kunipga mara moja tuu ila hichokipigo sijawahi kukisahau mpk leo😂😂😂😂😂
2026-11-09 06:30:42
110
momodija4
Momo dija🥰 :
me mama achapi lkn anaongea had utatamani uchapwe😅
2026-11-09 06:33:50
40
official_jsm1
Miss Carolyn ♥️ :
Nilijua tu lazima ni mama,akina mama sisi tuna mikono miepesi kwel🤣🤣🤣
2026-11-09 08:35:11
9
maggie_dolly3
️Maggie :
Wote maana walikua wananichangia kama mpra wa kona🤣🤣🤣,,,,mungu aendelee kunitunzia wazazi wangu
2026-11-09 08:00:31
6
lucy.95.m
LUCY 95 M :
naamin ipo ck pia kwangu
2026-11-09 11:05:09
2
moraaah.eunice
Moraaah Eunice ❤️‍🔥 :
mum did me bad😂😂😂😂🥰🥰❤️that lady alinichapa Adi nikichapwa Shule I never felt anything
2026-11-09 09:27:41
2
agnes.lupumbwe
ag baby :
hatar huyo mama angu
2026-11-09 04:03:47
18
collectionstore011
Mary :
Baba waliwahi nipiga kipigo cha mbwa mwizi 😂😂😂akanirusha juu mama akanidaka iko kipigo mpaka nakufa siwezi sahau Ila sina kumbukumbu Kama mama aliwahi nipiga 😂
2026-11-09 08:33:48
3
naomimboma397
Naomi Mboma og :
ad mim mama jaman baba ata sijui anapigaje. MC ntakuita kwenye harusi yangu[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-09 06:03:32
2
fridah.nduva
Fridah Nduva :
she is very beautiful
2026-11-09 08:21:42
0
evelinalazaro3
mamy Liiii :
pole jamn
2026-11-09 08:10:22
0
iamrhm0
iamrhm0 :
bombastic side eye
2026-11-09 04:59:07
4
amrathmulishid
😚 :
mama angu angenichapa na ukumbini kudhihirisha kuwa ni kweli. ishi sana mama angu
2026-11-09 12:13:23
1
annapaskal400
Annie❣️❣️ :
ukiambiwa mm kweny ck kam hi sitakuwa na mzaz hat mmoj ila naamin mungu alikuw n sababu
2026-11-09 08:59:32
2
bienveillance.max2
Bienveillance Max :
yaani mama yangu mimi ni anasema mapaka week inaisha
2026-11-09 11:14:24
1
dsajna
😌 doll didy😒💕 :
Aweee mimi baba yangu ndio kanichapa sana mama ata mara moja mana sijakaanae
2026-11-09 06:33:20
3
rynee684
rynee :
Nilijua tu atakuwa mama sio kwa alivyoshtuka😁
2026-11-09 09:01:16
1
suzymella.9
Suzy Mella :
mmependeza
2026-11-09 05:05:11
2
purypure0
purypure :
aki mm mamangu alikuwa anannichapa adi nashidwa kama mm sio wake jameni😂😂😂😂😂ila mm nilikuwa mtukutu kwa kweli🙄
2026-11-09 08:20:53
1
vavah025
Faah🧕💜 :
M baba hajawahi kunichapa ila aliwahi kunirushia kisu nikakikwepa hadi leo cjui ilikuwaje kuwaje😂😂🤣❤️Sema nakupenda we mzee yoooh😂
2026-11-09 07:15:32
1
engineerprince3
Engineer :
Mamameeeeeeeeee
2026-11-09 05:28:03
1
melissa.john637
Melissa John :
pacha wa mama yake
2026-11-09 04:19:59
1
mamyvanchris1
elika Vanchris 🦋⚘️🔐💃 :
🥺🥺mpk namzika baba yangu alinipiga mala mija tu maish yangu yote R I P my dady
2026-11-09 11:47:56
0
kidotimary1
mary :
nilijitambua nikiwa mdogo sana,sikuwa mtoto wa kupigwa mna nilikuwa muelewa sana
2026-11-09 12:12:23
0
To see more videos from user @mc.baruti, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About