✨️:Isaya 1:18 Haya, njoni, tusemezane, asema Bwana. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu.
Eee Baba wa rehema ninakuja mbele zako leo nikiwa na moyo wa toba.nikakiri kwamba nimetenda dhambi mbele zako kwa maneno,matendo,na mawazo yangu,nimepotea katika njia zako lakini najua rehema zako hazina kikomo.nioshe Bwana yesu kwa Damu ya yesu kristo,uniondolee uovu wote uliopo ndani yangu,nijaze tena upya roho mtakatifu unipe moyo unaopenda haki,nisaidie kuanza upya nikiishi maisha yanayokupendeza wewe.
Asante kwa msamaha na Neema yako kuu katika jina la Yesu kristo.Ameeen🙏🙏
2026-11-09 07:33:37
3
neema samweli :
mungu azidi kukupa ufunua na marifa mchungaji asante kwa mafundisho na nyimbo zako zinanibariki
2026-11-09 09:39:28
2
Rafiki :
Mungu wa mbinguni akubariki sana baba,kazi yako ni njema sana.
2026-11-09 11:01:57
2
VICTOIR :
amen mzee 🙏 🙌
2026-11-09 11:44:47
2
Baraka Adam :
Mungu akubariki sana mtumishi
2026-11-09 07:08:49
1
Elizabeth Kimario :
Mungu akubarik baba
2026-11-09 09:26:29
1
Jackichen Laurent :
Barikiwa sana Mtumwa wa Kristo kazi hii ni njema sana. 1Kol 15:58
2026-11-09 08:37:20
1
𝓕𝓻𝓪𝓷𝓴_𝓝𝔂𝓪𝓷𝓭𝔀𝓲 ✍️ :
eeeh Mungu naomba moyo uliovunjika 😭😭 vunjika
2026-11-09 05:08:10
2
🛐ASANTE IBRAHIM SOLOMON 》🔥🗻 :
Ubarikiwe sana
2026-11-09 13:10:15
1
Jailos Lubida :
amina mchungaji hata mimi nimechoka na dhambi
2026-11-09 10:58:01
1
obednegoelias :
mungu akubarik sana bab nabarikiwa sana na nyimbo zako
2026-11-09 16:24:34
1
Gervas I Sigili :
Much.Abiudi Mungu akubariki sana hata kwa kumtaja mch.Kulora...🌹🌹🌹
2026-11-09 17:46:59
1
maman zouzou :
sa narudi
2026-11-09 18:18:09
1
OP ELLY🦺🚜 :
Aminaa 🙏🏼🙏🏼
2026-11-09 12:47:42
1
patrick :
amen barikiwa sana
2026-11-09 09:20:39
1
avajou :
baba mimi natamani niwe na namba yako kwamusahada wamaombi
2026-11-09 06:27:18
1
komuhendo Jemima :
Amina
2026-11-09 15:15:22
1
kaserekakikumba :
Amen amen 🙏
2026-11-09 12:03:20
1
ma wa angel :
amina na mm narudi niongoze mwenyezi mungu
2026-11-09 06:33:26
1
Trecy :
SASA NARUDI BWANA UNIPOKEE TENA🥹🙏🙌
2026-11-09 05:28:22
1
Praise Sulle :
Sasa narudi🙏🏼
2026-11-13 22:02:55
0
Drogba :
amen ubarikiwe
2026-11-12 19:50:21
0
avithrumanyika :
amen
2026-11-12 17:43:42
0
Bakilimuhugu :
Amina mishili baba wakiloho
2026-11-12 06:49:47
0
paulina paulo :
amen baba niko tayariì
2026-11-09 05:27:22
1
To see more videos from user @mch.abiudmisholi, please go to the Tikwm
homepage.