mm fanya vyoote ntajikaz ila dharau za waz waz uwiiii nakuvamia hata kam sikuwez itajulikana huko huko na hvyo sinaga marafik wengi na sipend watu napenda kukaa mwenyew mwenyew maan nikitibuliwa nahisi kama moto unawaka ndani yang
2026-11-09 10:54:24
3
Oliva Machael :
hatutaki muchezo kabisa na maesha yetu
2026-11-09 05:45:01
6
dahuu093 :
Alafu wanatuona wajeuri 😂
2026-11-09 08:12:31
14
monaapple store :
cute wangu
2026-11-09 10:53:37
3
Nikki❤️ :
Vyote umepatia ila hatujiteteagi kwa maneno tunajitetea kwa matendo tu ndo ipo hivyo
2026-11-09 12:34:31
0
Namangwalu Fashion :
na wengi wanatuona sio waelewa
2026-11-09 07:04:40
5
Shaafitness7 :
Na mimi nipo ivyo kbsa group O
2026-11-10 04:51:51
1
katoto :
salute kwetu
2026-11-09 21:42:17
1
Jacqadoreluxe🧿 :
Mimi ni O+.Habari ya kunipangia cha kufanya Ndo kabisaa
2026-11-09 20:23:01
2
Qute zii🎀 :
Nimimi jamani nko hvyo
2026-11-09 15:48:22
1
Misskina omari :
sipendi kuongopa wala kuongopewa
2026-11-09 17:31:03
1
Heartthrob girl🥰 :
Group o🥰🥰🥰
2026-11-09 13:20:14
1
Jamila jety :
kweli kabisa ❤️🥰🙏
2026-11-09 10:23:53
1
✅black goat 🐐 :
me kabisa
2026-11-10 07:52:28
0
mahengeester :
Najiona kbs😁😁😁kuishi kivyangu vyangu sio shida zangu na na enjoy tu tena sitaki wageni😁🙆♂️
2026-11-10 07:34:34
0
To see more videos from user @luciamrema, please go to the Tikwm
homepage.