@dicksonkazola03: #creatorsearchinsights #socialmediacontent Mama @GwajimaD hili lipo ndani ya sekta yako mama yetu? #fypシ❤️💞❤️ #maadili #watotowamtaani
tulliopitia maisha ya kukataliwa na wazazi ndio tunajua hali
2026-11-09 06:42:57
196
mom j😘😘 :
kuna watu hiiii wataiyon juma tatu ijayo
2026-11-09 07:05:47
25
🪽dat _garl 🦋 bonge❤️🔥 :
Ambae hajawahi kupitia kitu kma hichi awez elewa wazazi Huwa mbele ya macho ya watu kujifanya wema sana ila nyuma ya pazia nibora hat mnyam me mama angu aliwahi nichome.kisu cha mkono na kunichoms kisu chamoto madikion na usoni siwez sahau aiseee
2026-11-09 12:07:03
13
JEANS EMPIRE 👖👖👖 :
HUYU MTOTO NI MDOGO SANA WAKUU ILA HAYO MANENO ANAONGEA KWA HISIA NA ANA MAANISHA SANA ANA ONGEA HUKU ANA UMIA AMUACHE TUUU
2026-11-09 07:40:35
28
mangala trap :
wazazi tujifunzeni kulea watoto
2026-11-09 06:52:36
40
BABA MII :
hili lipo sana kwenye jamii zetu wazazi kuwabagua watoto
mimi namuelewa sana uyu dogo tulio kuwa tunakataliwa na wazazi tunaelewa😭😭😭😭😭
2026-11-09 07:19:56
28
Diana Edward :
sio wazazi mzazi kwasababu aliye kuwa anamtesa ni baba na sio mama😂
2026-11-09 07:30:15
17
Veda official ♂️ :
shida ya wazazi ata wakikosea wanatumia ukubwa wakidai mkubwa huwa hakosei so hii hali ilinikuta me nilitoka home nikiwa mdogo sana ila now mungu anasaidia maisha yanaenda
2026-11-09 08:15:32
11
prince. suresh 👑🤴🌕 :
Kma huja ishi aya maisha uwezi elewa uchungu alikuwa nao Emma...ila kiukwer baadhi ya wazazi. Haswa Baba. Mna moto wenu.. C wengine ndugu wana jua tumesh kufaga Tunaishi wenyewe bila ndg Wal family.. Mateso yalipo zid tulikimbia bila kutazama nyuma. Me mwaka 12..ssa Cjui Nyumbn wako vp. Na wao hawajui km mzm Au nmesha kufga.. Ila nashukuru mungu now nna maisha yngu.. Na biashala zangu. Nactamn hat kurud Maan turikuwa tuki sem tuna teswa tulikuwa tu naonekana waongo. Ila Maisha. 😕 Emma umejua kuniliza broh.. Nmekumbuk mbal
2026-11-09 07:28:59
11
Faraja ndelwa💧💞 :
ila wazazi wengne ndio sababu ya watot kuhangaika tukubali ilo tu
2026-11-09 12:08:29
5
Johnson zk :
huyu dogo yuko sahihi hayo maisha nishayapitiaaaa
2026-11-09 07:32:04
8
sara_baby. :
mama atomuweza Tena mtoto mtoto kashazoea uhuru ndomna anakuwa mkali sana
2026-11-09 06:40:08
31
Kelvin Laurian :
achacha nipite2
2026-11-09 12:31:20
0
Machuwa 🎀 :
Mtu kama hujawah piitia haya maishaaa🥹🙌
2026-11-09 06:46:19
15
Minza💦❤️ ACTRESS :
daah mtoto anaongea kwahisia sana 😢 emungu msaidie huyu mtoto nimelia sana inaumiza
2026-11-09 07:48:29
5
khadijamiraji842 :
sijyi ata nalia nini
2026-11-09 06:41:16
5
Mama Nu²🫂👣 :
maneno makali kwa mtoto siyo vizur
2026-11-09 06:54:13
5
Aztecca Boy :
afu uki ongea wanasema hauna adhabu 🤣
2026-11-09 07:09:47
6
yakob muhaaa :
WAHESHIMU BABA NA MAMA UPATE MIAKA MINGI NA HERI DUNIANI 📌📌📌
2026-11-09 12:52:07
2
faty fatoumata :
ukitaka mafanikio apa duniyani nakesho akhera Mungu akufurahiye watii na ku waheshimu wazazi 🥺🙏uki wazarau wazazi hautiboi dogo 😔ume jazba saana
2026-11-09 08:06:48
0
Choosen one 🦋😇🥰🫡🙏🏻 :
mtt mjuaji hv mungu aniepushe mzazi ni mzazi
2026-11-09 12:10:37
3
jesik :
yanimm hadireo babahanipend kabis
2026-11-09 07:04:19
2
To see more videos from user @dicksonkazola03, please go to the Tikwm
homepage.