😳😳😳.hii imenifanya nikumbe. wasichana kama 20 walikuwa hawajui english wala Arabic. tulikuwa office. ikiwa niongee nao kisha ni muelezee. na huyo jamaa alikuwa amenitolea macho. wacha tu. Maana nilijikuta napewa kazi isokuwa na mshahara. sisahau walinitoa kijasho.
2026-11-09 13:48:55
1
🥀Najmer🥀 :
Subhanallah tusomeni Jameniii 🥺
2026-11-09 19:18:33
2
LAVA_TOUCH :
Uyo wa kenya😂😂😂
2026-11-09 21:07:11
1
Sija Boga :
Yawaaa daah kusoma n muhimu kizungu kimenifanya nijue kiarabu coz waarabu wangu wajua kizungu ,kitu nimerialise gulf bila English n kiarabu n mtihani
2026-11-09 16:26:53
3
Elina :
kumbe tuko wengi tilusojua kizungu
2026-11-09 12:32:53
0
To see more videos from user @officialshakim, please go to the Tikwm
homepage.