@thewindsor_fly: VIJANA 16 WAMESHATOKA, WEWE UNASUBIRI NINI? Kupitia The Windsor, vijana 16 wa Kitanzania sasa watafanya kazi nje ya nchi tofauti tofauti Wanalipwa vizuri na wanasaidia familia zao. Kama huna ajira, usikae nyumbani. Njoo The Windsor tukusaidie na wewe uondoke kama wenzio. WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA 0771146164,0771146165,0771146166 AU TEMBELEA OFISI ZETU ZILIZIPO MANZESE TIP TOP USANGI HOUSE FLOOR YA TATU KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU AJIRA NA FURSA ZILIZIPO.

The Windsor Recruitment Co.LTD
The Windsor Recruitment Co.LTD
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 09 November 2026 05:35:45 GMT
16749
587
54
126

Music

Download

Comments

esherama511
esherama511 :
Pesa mnaitisha nyingi
2026-11-09 08:40:05
2
cresencia.godwini
Cresencia Godwini islaely :
office ziko wapi
2026-11-09 16:50:27
0
ruqaiya040
Aisha💦 :
Za procurement zinapatikana?
2026-11-09 06:21:36
1
betwity
fibe :
na mimi nina ndoto ya kufika nchi za ulaya ila sina passport wala nida🥺😢
2026-11-09 14:38:57
2
jameelbarak8482
Life must go on :
MashaAllah malipo niaje kabla au baada
2026-11-09 12:50:41
0
momo048839
momo04 :
kuanzia miaka mingapi
2026-11-09 11:00:00
1
user7500279109350
user7500279109350 :
Mimi nahitaji kazi viwandani ila sio uarabuni
2026-11-09 14:04:04
0
user817797228
user817797228 :
wanaume je
2026-11-09 09:13:24
1
user3320037959003
user3320037959003 :
nnaemwanangu😅anaomba kazii
2026-11-09 11:44:18
0
ester_seuta
ester_seuta :
sina ndoto iyo kwenda kulala saa nane me siwezi
2026-11-09 13:01:20
0
user7381204578773
idrissa :
the windsor recruitment agency nawatakia hongera sana kwenye kamuni yenu ila mim napenda kuombakazi usafi kwajuml
2026-11-09 11:25:18
0
latifa.amosi0
Latifa Amosi :
naomba kazi ya usafii
2026-11-10 11:52:07
0
user8324513560918
sule :
mm nataka
2026-11-10 09:33:37
0
am_ina_10110
am_ina_10110 :
naitaji za usafi ndug
2026-11-09 19:05:13
0
lilianbernad817
love :
kaka na mimi please nahitaji
2026-11-10 08:30:18
0
babamarthamponzigmail.co
Baba Martha mponzi :
Sina Hela nafanyaje ili na mm nitoke
2026-11-10 05:51:10
0
law.one.the.king
OBAMA🇱🇷🇱🇷 :
mi namiaka 18 je napata kazi kaka
2026-11-09 22:29:19
0
agonzaerasto751
Agonza Erasto :
kaka na Mimi nahitaji jmn mnafanyaje
2026-11-09 18:59:53
1
matapali0
matapali :
nahitaji
2026-11-09 21:49:50
0
aziduaidina953
Azidu aidina :
naweza usafi please
2026-11-10 12:19:47
0
abdallahmcheleng9
abdallah mchelenga :
nimewapenda sana
2026-11-10 12:46:02
0
ms.moyo86
Ms_Moyo🇹🇿🇹🇷🇦🇪 :
je kama ushaenda unataka kwenda tena
2026-11-10 10:35:08
0
mollet.rock
mollet rock :
kwa watu wamikowani vp
2026-11-09 21:54:29
0
To see more videos from user @thewindsor_fly, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About