@mbeya_home_decoration: 🔥 HARUFU YA NYUMBA YAKO INAWEZA KUBADILISHA MOOD KABISA! 😍 Tumeshusha DIFFUSER ZA AROMA COLLECTION ZA VIJITI (REED DIFFUSER) 🌸❤️ Harufu nzuri, muonekano wa kisasa na urembo wa ziada ndani ya nyumba yako. Unachotakiwa ni kuweka vijiti vyake na kuacha harufu nzuri itawale mazingira yako. 🥰 💰 Bei ni Tsh 25,000 TU! Wahi yako kabla hazijaisha! 📍 Mama Vumi – Sido Mbeya 🔥 Chimbo ni moja tu Mbeya nzima!