Wakati mwingine hekima ya kushinda vita ni kutokupatikana kwenye battle field maadui wakija hawakukuti😂🙌🏾
2026-11-10 05:23:33
86
nakoamind :
kukimbia unamaanisha vp maana align in your purpose nothing can defeat you but fear on running does not help at all may be you are also have jealous to them too but if you align in yourself purpose in Truth and light you have nothing to fear them
2026-11-09 21:01:52
6
@Christinekiza :
My favorite,kesho ni lazima ni towe neno kama wewe🤲🏻,Roho mutakatifu azidi kukuongezeya Maharifa zaidi🤲🏻🙏
2026-11-09 06:39:47
6
𝒫𝒶𝓇𝒾𝓈🌸 :
Yani nika umenisema mm Yani I have competitors everywhere but I thanks god najitaidi kuwa epuka
2026-11-09 20:42:37
12
Mrs Cooper :
ninae hapa mmoja ati kaokoka kutwa vijembe, akimaliza vijembe, gospel song, natafuta mteja niuze vitu vyangu nisepe ukifanya maendeleo anasema unajiuza, wateja wakija anawaita anawaliza kwanini hamji kwangu, saanyingine wakija kununua kwangu wanatoka wameficha vitu. ukileta hiking nae analeta mara akifika anaza kutukana na duka lake kubwa kuliko langu Bora nimpishe, Jirani mwingine akampokonya mteja anajiona wakati anamuelezea bei kumbe huyo Jirani mwenye wivu kashamuita. Mama anaongea kupita maelezo akitoka mteja ubarikiwe, Mungu akutangulie lakini roho yake nyeusi tiiii
2026-11-10 15:16:04
4
afyanauzazi5 :
Mungu akutunze kwa ajili yetu ❤️
2026-11-20 11:23:52
2
Rby :
Ameeen Mungu atusaidie kutambua na kuelewa
2026-11-13 09:35:01
1
babji :
Mbona waongea haraka hivi
2026-11-11 13:03:49
1
Madison :
uyo adui akiwa ndugu yako hama mahali apo haraka
2026-11-23 05:40:02
1
deonisagustin :
Amen l got the motivation of the year 😅
2026-11-18 13:55:06
1
MK 💞 :
mung Wang anipe nguvu na aniebushe na maadui
2026-11-15 03:16:43
3
Reen.cute03 :
Fact 📌📌
2026-11-09 20:37:28
3
Jen 🇹🇿 & 🇩🇪 💍 :
Exactly
2026-11-09 15:16:05
4
edinahassani :
Amina sana
2026-11-14 14:55:33
1
eunice :
True
2026-11-10 09:40:44
3
Sally :
Noted💯❤️
2026-11-11 14:35:08
1
MarianaKinawa :
Wivu ndo sababu ya kwanza iliyo sababisha uaji kwenye bibila