@veriafya: Bingwa wa Uzazi na Magonjwa ya Wanawake katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Nathanael Mtinangi anashauri wanandoa wanaohangaika kutafuta Watoto wasishiriki tendo la ndoa kila siku ili kumpa nafasi Mwanaume kutengeneza mbegu nyingi, zenye Ubora unaoweza kurutubisha yai. Katika mahojiano haya yaliyofanyika kupitia Mwananchi Digital, Dkt. Mtinangi anabainisha kuwa njia hii inaweza kuongeza uwezekano kwa Mwanamke kupata Ujauzito hasa ikiwa changamoto inatoka kwa Mwanaume
mmmmhhh swala la mimba bwana huo ni mpango wa mungu itaka iwe itakuwa na asipotaka kuwa haiwi
2026-11-09 13:11:54
8
Abdul maina :
mbona apo mwisho haingii akilini dokta
2026-11-09 13:48:49
0
hdsh :
😂😂😂ishawahi kunitokea kila siku ilikuwa show karibia miezi7 yote nikaja kutana na bingwa mmoja ndo akanipa huu ushauri wa kupumzika ili mbegu zikomae
2026-11-10 06:03:49
1
Rehema Kondo :
Namba za dkt tafadhali
2026-11-11 08:30:55
0
yasini massawe :
umetudanganya tuletee prov ya kisayansi maana ss huku hutulioni ukweli wake
2026-11-10 17:25:13
0
AJMIIL(ABDALLAH JUMA SHAABAN) :
usitupangie nitafanyie wapi niache mzeee
2026-11-09 18:44:32
0
MUHAMMEDII 77 :
nice
2026-11-09 07:37:01
0
Said Hamad742 :
Mnatuchanganya sasa
2026-11-09 12:09:44
0
eliascania :
sas mbona kwa wanafunzi inaingia ata ulale na wanawake 100 kabla
2026-11-11 13:17:55
1
💃🏽MTUI SHOP👗 :
Uyu ana mke 😂😂😂😂😂
2026-11-09 13:14:19
0
uhuru wa kifikra :
kwa wanaume usi tusemee hapo kuna uongo maana sie tuna oa wanawake wanne tame wapa zam siku 3tatu ma wanazaa wote sasa hiyo sayansi yakawaida ifatilie vizuri kwa wanaume hasa waislam ndio wanajua zaidi hilo
2026-11-12 11:14:25
0
Maiko Mabena :
😳😳😳
2026-11-09 20:29:27
0
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm
homepage.