@sarahprintingmaterial: UNA NDOTO YA KUANZA BIASHARA YA PRINTING?, HII POST NI KWA AJILI YAKO☝🏽 Kuna aina nyingi za printing, lakini si kila aina itakufaa. Kabla hujawekeza mtaji wako, unatakiwa kujua; ✅ Unataka kuzalisha bidhaa gani? ✅ Wateja wako ni akina nani? ✅ Unahitaji machine gani? ✅ Una soko la huduma hizo? Usichague huduma kwa kufuata watu. Chagua kwa kufuata mahitaji ya soko lako.🤗 @sarah_printing_material1 Print. Create. Inspire. #fyp #explorepage #trending #tiktok #viral