@dizzo1111_fx: Mitihani si mwisho wa safari, bali ni kipimo cha uvumilivu wako na daraja la kukufikisha kwenye mafanikio makubwa zaidi. Ya Rabbi , tutie nguvu, tufanyie wepesi kila gumu, utujaalie subira na utufungulie milango ya mafanikio ya kudumu. Amin. 🤲✨ #IslamicReminders #WaislamuTanzania #allah #elimuyaislamu #UjumbeWaLelo