@naimalicious_cake: kwa kipimo hicho cha kg..... mayai 11 sukari 230g unga 300g iliki chembe 6 moto kuanzia 180 itategemea na oven lako lkn isishuke 180 mimi siweki flavour,only iliki inatosha kufanya mkate wako uwe na harufu nzuri ile ya asili nakutoa shombo la yai #creatorsearchinsights #kigamboni🇹🇿 #spongecake 0715366436