@kashili29: 🤣Kwaiyo ndio ivo buana🤣 #viralvideo #comedia #tiktokviral #tiktokindia #tiktoknigeria🇳🇬

Kashili29
Kashili29
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 09 November 2026 07:20:32 GMT
65904
3621
208
300

Music

Download

Comments

user8065085944343
se komba :
kama nawaona watu watakavyokimbiwa na wasichana wao wa kazi 🤣😂😅
2026-11-09 08:54:41
44
fadhil.omar63
Fadhil Omar :
kesi kubwa awataki ugali
2026-11-09 07:56:28
25
hildasteven817
mummy hilda :
naonea huruna tv yangu na sofa zangu nyeupe
2026-11-09 09:14:08
16
user63324029210355
Africa Hopoe💗 :
apa nishachoka na mamdgo angu jamani khaaa[Embarrassed]
2026-11-09 11:25:56
0
diannnhjoseph
🤘🫸 LAST BORN 🫷💯 :
[Laugh approved][Laugh approved] wameshaivunja kabs [Laugh approved]
2026-11-09 10:20:42
0
naahymushi
Eun💞💖 :
Mm ndio nimeomba likizo niende kwetu[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Vergüenza]
2026-11-09 10:25:21
0
nuu776
Nuu :
Manajeshi wamesha pita navyo mda mrefu tuu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-09 10:30:54
0
user5973378320630
zaysadick :
Nildhan mchezo wa kupotea na kuvunjwa remote ni kwangu tu
2026-11-09 10:36:33
2
ibrahlabeehallykh
ibrahlabeehallykh :
nikifikilia remote control zangu nachoka kabisa[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Vergüenza]
2026-11-09 10:58:04
1
cypriannaanno
naaa🥰 :
Nawapeleka kwa bibi yao
2026-11-09 09:48:10
0
badrin_assey
Badrin~Assey :
bora rimoti
2026-11-09 10:28:46
0
user2634818210262
my cute :
umepigajehapo[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-09 10:10:15
0
user2078818601097
user2078818601097 :
Ngoja nitunze remote ili nipate laki maana sio kwa maisha haya
2026-11-09 09:29:12
2
user5139936394658
💞 :
Mimi limit mfuniko tayali huku[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]na wanajeshi wangu 2 tena wamepishana mwaka tuuu ila nimewamisss wanangu uongo mbaya
2026-11-09 10:35:20
1
user91753665421695
pilly :
😂😂😂limoti zote kwishaaaaa
2026-11-09 09:08:29
6
bahati5648
bahati. :
hahaha kama najiona.
2026-11-09 09:59:52
1
babynanah0
❤️baby Nanah 🥰 :
nishaongea na bibi ake acha kwanza akamsaidiee kidgooo ntaenda tr 10 wa kwanza 😂😂😂
2026-11-09 09:35:39
3
mariadaniel085
Maria :
mie wandering kabisa wanajeshi waliopo nyumban wameshanizuru bado.kikosi kazi kinachokuja ndo hatarishi kwa afya🤣🤣🤣
2026-11-09 09:19:51
0
zaitunimarubi
zaitunimarubi :
2026-11-09 10:27:31
1
giannachomazone1
Gianna chomazone :
Mm nmemuandaliaaa tiketiii akifikaa aende kwao arushaaa😁
2026-11-09 09:38:59
0
maganga876
maganga :
😂🤣🤣🤣🤣🤣 jmn nimecheka nikwel kabsaaa
2026-11-09 10:11:03
1
elizalumambo
Eliza Lumambo :
Yangu haina mfuniko kabisa 🤣
2026-11-09 10:01:56
1
itsmetz81
Mrs someone :
remote ya radio,king'amuzi tayari hazipo tangu likizo ya mwezi wa Sita nimebaki na tv tu baada ya kuificha.. WiFi yangu nayo nimeifunga juuu karibu na singbord ni mengi yalionisibu mwezi wa Sita sasa nikiwaza hii miezi miwili inayofata naishiwa pawa
2026-11-09 09:50:06
1
floramarwa4123
Flora Marwa :
watoto nj wakwetu na hawatushindi kwa lolote watakula,watafanya kazi wataoumzika kwanza tumewamiss sana watoto wetu 🥰🥰🥰 i love you my boys
2026-11-09 10:18:13
2
triple.j3643
Triple J🤪 :
🤣🤣🤣 yaani tunapata tabu balaa
2026-11-09 07:27:31
2
To see more videos from user @kashili29, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About