Mungu aishivyo hataruhusu haya kwa jina la Yesu Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-11-09 14:14:08
21
magreth :
ni Bora mwisho ujee na sio kuona uzaooo unapotea😭😭
2026-11-09 09:33:11
25
user4265312935694 :
unaweza kukata tamaa usinunue hata kiwanja ujenge haki
2026-11-09 10:24:45
14
Kım$genıus :
Tutakunywa ya mtoni Mungu hatatuacha
2026-11-09 15:35:25
4
Gadiel Mshana :
ole kwa watakaoachwa baada ya unyakuo
2026-11-10 23:26:44
2
Fido dido :
Mambo Ya Mungu ni magumu sana 🤔
2026-11-09 09:56:50
1
CHARLES KACHWELE :
Manabii siku hizi wamekua wana lopoka tu na wanapendwa balaa
2026-11-09 14:34:34
1
Zacharia Nyiti :
Skuiz ni mwendo wa kutishiwa tu
2026-11-09 18:09:18
1
Tugume🇹🇿🙏 :
toka wiki jana Mungu kaniambia nitengeneze umeme wangu ,na nitafute shamba mbali ya miji ,na mchoro wa umeme wangu usiyotumia mafuta na jua nimeuanza
2026-11-10 22:21:35
2
3rd❤️ :
MWENYEZI MUNGU tuhurumie wanao
2026-11-09 10:12:50
7
wellahsuleiman :
TUPE USHA URI WATU WAFANYE NINI?
2026-11-09 18:23:10
0
Twins JJ❤️🫂 :
tumechoka jmn kwan hzo sku za mwisho ni lin sasa mpk tunaogopa kuishi aseee kila sku utabiri mpya
2026-11-11 14:01:37
2
Evelyne Mirumbe❤️ :
Mungu tunaomba tuepushe na hili janga
2026-11-09 09:54:58
6
Phina Samwel :
Unaweza usielewe lakini huo ndo ukweli
2026-11-09 14:03:42
4
revinapetero :
huku atuna maji leo siku3
2026-11-11 11:31:29
2
💕 :
Shid ya maji ishaanza baba
2026-11-09 20:34:34
3
QUEEN PheTeMe777🧿☘️ :
kwa maana iyo mabahari maziwa ,mito itakauka??😳km ni ivyo basi ndo itakuwa mwisho wa dunia..na hizo sheli watakuwa wanatolea wapi maji sasa 🙉 inafikirisha mno
2026-11-09 15:54:29
0
JS PERFUME COLLECTION :
na imeanza kwakweli yaan
2026-11-09 15:13:44
3
RIE MOEN :
tatizo machache ndo uwa yanatimia mengi ayatimii mnatabiri kutokana na taalifa za habari
2026-11-09 10:36:45
4
BABA JJ. :
sijaelewa mtumishi kila siku anaonyeshwa majanga tu 🤔🤔 kwani Mungu wetu si wamajanga bali ni waamani
2026-11-10 11:22:44
1
Rebeka Grayson :
NEEMA YA MBUNGU ITUFUNIKE
2026-11-09 10:32:01
4
Zara❤️ :
Mtumishi ninae muamini 🙏🏼
2026-11-09 11:32:50
3
@naaaahndoss :
BABA SAWA TUMESIKIA AGIZO ILA TUNAOMBA UTUAMBIE MUNGU ALIKUAMBIA HATUWEZI KULIEPUKA...
2026-11-09 09:34:40
4
DR. GABRIEL SASI CHACHA :
Mungu atusaidie
2026-11-09 14:55:53
1
To see more videos from user @prophet.edmound_mystic, please go to the Tikwm
homepage.