Mungu ndie muamuzi wa hatma ya watt wangu! walah natamani nisingekuwa na uzao, Mungu kanipa wavulana wa 3! kiukweli wamama wenye watoto wakiume hatuna raha jaman MAGUFULI NIMEKUKUMBUKA
2026-11-09 09:57:42
5
Hilda fashion :
Sa mbona wameshapewa izo chanjo jaman
2026-11-09 09:23:09
11
veronica Godfrey :
[Crying][Crying][Crying][Crying][Crying]Jamani mbona watoto wameshachomwa jamani Eeeeee Mwenyezi Mungu saidia watoto wetu Mungu wangu uwiiiiiiiii😭😭😭😭😭😭😭
2026-11-09 09:52:59
5
MAMA_BOVEN🫥🫥 :
mtakula vya kufisha havitawadhuru Luka 10: 19 mtakanyaga nyoka na ng'e havitawadhuru nakuamini Mungu wangu