cjui kma ni Mimi hizi lights hunisumbua peke yangu ama niache ushamba 🤣🤣🤣
2026-11-11 07:03:55
509
wildberry🍇 :
ukitoka job umechoka uingie huku unakufa😂
2026-11-11 14:38:57
249
Tracey🌸🌸 :
hii ni nganya ama nyumba
2026-11-11 13:19:01
141
🦋 Pretty _soul🌸✨ :
nimewai weka hizi lights kwa nyumba wacha nikwambie nliweka omo kwa mboga nikidhani ni chumvi😂😂
2026-11-11 10:53:18
134
Beauty 𝔹💞💞💕💞 :
ntajaza majani kwa chakula 😂😂😂
2026-11-11 06:37:34
54
📌🦋Làylà Shèé🔐🦋 :
my eyes cant allow me to survive wallah
2026-11-11 05:08:19
24
Celine B :
huku siwezi kubali kukaa hizii lights hunisumbua adi naumwa na kichwa😳
2026-11-11 14:34:13
41
Radido🇰🇪🇱🇷 :
hatukatai wewe ni dj but mbona uweke disco lights kwa nyumba 🤔
2026-11-11 12:03:40
26
𝕸𝖆𝖒𝖆 𝕿𝖗𝖊𝖆𝖘𝖚𝖗𝖊♥️📌 :
wah naskia kizungu zungu na siyuko ground😳😂
2026-11-11 13:10:45
6
Mwetilah :
bouncer mna hire na ngapi[Tears of joy]
2026-11-11 16:59:59
1
EssyMcutee🦋🥰❤ :
hii nganya ni ya wapi[Tears of joy][Laugh approved]
2026-11-11 15:01:25
0
baby lynjune 💞😍 :
hii quiver Iko wapi[Tears of joy]
2026-11-11 17:28:44
0
JULLIE M OFFICIAL🖤 :
im here for the music
2026-11-11 17:46:18
0
Simon Githing'a :
hiyo light sitting room apana
2026-11-11 17:18:10
0
CLISH GAMER 🎮 :
hapa hata avocado ikae wiki huezi jua kama iliharibika
2026-11-11 07:34:53
25
Xoxo kityyy🤩🤩🤩 :
mm apo nitaanza kuzunguka vile hiyo taa zinaenda😂😂😂
2026-11-11 14:19:16
8
êllã Êgæn🦋❤️ :
Msupaa anaskia smarter😂😂😂😂
2026-11-11 16:06:25
5
Myke💫 :
huku mutasema ni Ai
2026-11-11 16:45:33
10
🌹VELLAH MINAYO KILASI🥰 :
ghaii...aky nakwambia Kwa boy wangu ni ku smart njeri😅😅😅😅usiku lights zinawaka ...zile hua zinakaa zinatembea...mmh...sikuskia kutoka huko🤣🤣🤣...nafsi nenewa
2026-11-11 09:24:22
25
Hildah 🎀❤️ :
ntashikwa na kuzunguzungu mimi
2026-11-11 14:46:20
7
user5683125497734 :
huku ni wapi lights zimewekwa hadi kwa sufuria
2026-11-11 13:19:54
19
george kizito :
hii club gani
2026-11-10 22:11:55
9
To see more videos from user @elijahomwansa, please go to the Tikwm
homepage.