@zoatv16: Mtoto wa mtaani kutoka Dar es Salaam amekataa kurudi nyumbani kwao Makambako, akidai kuwa amekuwa akipigwa na baba yake hadi kusababisha majeraha.

ZOA TV
ZOA TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 09 November 2026 08:43:10 GMT
18703
394
36
40

Music

Download

Comments

benedictoandrea27
Bencall :
huyu dogo , lazima atafanikiw maan ana motivation y ndn y moyo
2026-11-09 19:22:56
1
emanuelelimringil
Irene 🌸 :
ila Ima
2026-11-09 20:50:23
0
cristinamshana
cristinamshana :
mwacheni mtoto apambane a amano ya mbali
2026-11-09 20:09:39
1
user8531990471627
[email protected] :
uyu mtoto kunahali anapita anamaumivu mwelewen
2026-11-09 19:40:02
1
godfreylucas205
Godfrey Lucas :
kaza dogo mungu atakusaidia some time wazazi wanazingua hasa akina baba
2026-11-09 17:28:37
2
nyaulingoagson
Agson :
Bado mdogo, yupo sawa ktk kutaka kupambana ila akikua atajua thamani ya baba yake, na atajua kwnn alikuwa anamchapa
2026-11-09 17:59:23
0
emjohn973
emjohn973 :
Emma Emma kina Emma tupo vizuri kwenye misimamo balaa huyo mama hakumuamini mwanae hapo mwanzo
2026-11-09 19:40:45
0
richi.mapambo.gem
Richi Mapambo katoro :
namuomba huyu dogo aje geita
2026-11-09 20:27:05
0
rockgsimbajike
Rock g simbajike :
nimeimia sana kusikia Naishi maisha yangu mama nakutafutia
2026-11-09 19:54:13
0
happykaminyoge1
happy kaminyoge :
kamezoea kuishi mtaani
2026-11-09 20:33:10
0
sabriewv259
Sabrina :
Ukute walitaka kumtoa kafara mtoto kashtukia 😭😭😭😭wakinga mmmh
2026-11-09 19:55:30
0
maria.ndahani
Maria Ndahani :
ameen
2026-11-09 20:28:37
0
ismaili.mapalala
Ismaili Mapalala :
jaman em weken namba tuchangie chochite dogo apate hata kamtaji
2026-11-09 19:01:33
0
rasi.gody
RASI GODY :
dogo nimemkubali hatari anamsimami ningekuwa boss ningempa kazi AJIRA kabisa
2026-11-09 18:37:58
0
paul.mabindo
Paul Mabindo :
dah
2026-11-09 20:18:21
0
imma.tz7
Imma Panga :
Akina Imma tuna misimamo yetu hatutaki kunyanyaswa na wazazi!
2026-11-09 18:47:52
0
rolleralphonce
rolleralphonce :
Inaumiza sana
2026-11-09 18:39:06
0
isack.mabula1
Isack Mabula :
inaumiza daah
2026-11-09 18:50:43
0
pius945
Pius Maduhu :
Amsikilize nini? mnataka mtoto auawe? acha mtoto akae mjini. Nyie waandishi wa habari baadae mtasema tu pole
2026-11-09 11:17:32
0
mafingaunoplast
mafinga :
Ima yupo sawa
2026-11-09 17:04:51
0
abuu.nashmiya
ABUU NASHMIYA :
kwani huko makambako kuna nn
2026-11-09 20:48:06
0
irenecosmetic
Irene cosmetics :
Mungu asaidie uzao wake huyu mama
2026-11-09 18:19:51
0
bonifacikuziwa
kuziwa :
mtaniuwa tenaaa
2026-11-09 17:21:20
0
salummuya686
farmer OG :
Dah safi sana dogo[Pray][Pray][Pray]
2026-11-09 17:49:10
0
ngiyabonga204
Gabriella :
ameniumiza huyu mtoto jamaan
2026-11-09 18:09:49
0
To see more videos from user @zoatv16, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About