@taimediatz: #HABARI Diwani wa Kata ya Kariakoo, Haji Sunday Manara, amesema hatavumilia vitendo vya ushoga kufanyika katika eneo hilo, akiwataka wananchi kutoa taarifa wanapobaini watu anaowataja kuwa “baradhuli” wakisogea katika kata hiyo. Manara amesisitiza kuwa ana wajibu wa kusimamia ulinzi na maslahi ya wakazi wa Kariakoo, akionya kuwa watu wanaojihusisha na vitendo hivyo hawatakuwa na nafasi katika eneo hilo. Akizungumza kuhusu msimamo wake, Manara amesema: “Hii Kariakoo haingii baradhuli, haingii. Tukimwona baradhuli yoyote akasogea hapa Kariakoo, nipigie simu.” ✍🏿 @mariamshabanitz #taimediatv #taimediatz

taimediatz
taimediatz
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 09 November 2026 09:17:48 GMT
7869
372
19
6

Music

Download

Comments

mussa_jr3
Mussa_jr3 :
Allah akubarikie sheikh haji manara na 2030 tutakupa ubunge in shaa allah
2026-11-09 11:28:40
3
ludovik.assenga
Ludovik Assenga :
Safi kabisa mzee
2026-11-09 11:00:42
3
user118609914563
Salehe :
allah akubaarq haji manara
2026-11-09 11:25:09
2
user272781709812tt
user272781709812Ttree day's :
Safi Sana Allah akuweke.
2026-11-09 11:09:04
2
makena.makena15
Makena Makena :
Safii mwamba mzalendo manara
2026-11-09 11:43:46
0
bujikusimon
bujikusimon :
mzee tutakuunga mkono
2026-11-09 11:26:05
1
user2583462592992
HAKI HUKETA AMANI :
manara safi sana mm nadimama nawew tuokoe taifa letu la kesho
2026-11-09 12:01:10
0
meshackwiliam65
Meshack Wiliam :
Kuna muda manara anaongea point Safi Sana mzee
2026-11-09 11:44:24
0
user4741493943374
user4741493943374 :
tunataka viongozi kama wewe Safi saana
2026-11-09 11:59:30
0
sarah.mdyamukama
Sarah Mdyamukama :
ahsante
2026-11-09 11:27:34
0
faridezfkmc
Farzana :
Safiiii
2026-11-09 11:03:38
0
user272781709812tt
user272781709812Ttree day's :
hakuna kushindwa
2026-11-09 11:11:30
1
yaumu.juma
Yaumu Juma :
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 mungu atusadie tushinde ili jambo la ushoga linatuuzi sana
2026-11-09 09:30:00
1
shariffa796
shariffa :
Allah akusimamie kwa hilo Tunaogopa jmn lisemeeni waambie mashekhe Pambana na hilo
2026-11-09 10:18:00
1
user3015264142845
JOHN TZ :
Kwel kabis
2026-11-09 12:10:09
0
enockmarcomagele
Enock :
hili swala msilijibu kisiasa kweny hadhala ya watu nadhani ni wakati sahihi wa serikali chukua hatua Kwa watu wanaofanya mambo bila kusita
2026-11-09 12:28:13
0
the.njwango.official
Dad's Travis :
wakubwa wa marekani wana kauligani kwenye nchi yetu pasipo kupewa ushirikiano
2026-11-09 12:03:18
0
abdallahdullah268
abdallahdullah268 :
Well done manara
2026-11-09 12:14:36
0
adhash51
adhash51 :
Leo ndo nimeamin manar ana akili
2026-11-09 11:32:25
0
user9731813978782
mussa mwalimu :
Allah akusimamie ktk hili ukisimwma kwenye mambo ya Allah utakuwa katiba Masada wake
2026-11-09 11:31:24
0
dalalimlanz
Dalali Mlanzi :
Takibiriiiii
2026-11-09 12:28:39
0
salim.mkandabwe
salim mkandabwe :
🥰🥰🥰
2026-11-09 11:01:19
0
To see more videos from user @taimediatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About