@kusagatv: MWANAMKE AFARIKI DUNIA AKIWA KWENYE GETO LA MPENZI WAKE OLASITI KATI, ARUSHA Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Lucy amefariki dunia akiwa kwenye makazi ya mwanamume anayedaiwa kuwa mpenzi wake katika Mtaa wa Olasiti Kati, Kata ya Olasiti, jijini Arusha. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia Novemba 9, 2026, ambapo inaelezwa kuwa Lucy alikuwa amefika nyumbani kwa mwanamume huyo kwa ajili ya kumtembelea, licha ya kuwa yeye mwenyewe anaishi kwa kupanga eneo la Sakina jijini Arusha. Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana, usiku huo Lucy alipata hali iliyofanana na kifafa, jambo lililomfanya mwanamume huyo kuomba msaada kwa majirani na kuwataarifu kuhusu hali ya mwanamke huyo. Majirani walipofika eneo hilo walimkuta Lucy akiwa tayari amefariki dunia. Jeshi la Polisi lilifika eneo la tukio na kuchukua mwili wa marehemu, kisha kuuhifadhi katika chumba cha kuhifadhia maiti kwa ajili ya hatua zaidi. Hata hivyo, chanzo cha kifo cha Lucy bado hakijafahamika na kinatarajiwa kubainishwa kupitia uchunguzi wa vyombo husika.
MWANDISHI WA WANANCHI
Region: TZ
Monday 09 November 2026 09:42:16 GMT
Music
Download
Comments
dorry01 :
😳😳siji tena ba mpenz
2026-11-09 10:10:36
83
oddo💞 :
huseni machozi 🥺njoo uwone wimbo wako huku 🥺
2026-11-09 09:57:43
411
ŇŐĔĻÝ 72 :
uwiii Latifah naomba ucje tena kwangu🙏 tukutane gest me cn mwanasheria ntafungwa
2026-11-09 10:13:25
180
Calvin Msacky :
Kwan walikuwa washafanya
2026-11-09 10:34:59
22
Magaritha🎀 :
sasa kulala mwenyewe tunakufa
tukilala na mtu tunakufa
nilale wapii🤣🤣🤣
2026-11-09 10:17:28
71
Heriety Dembe :
iv harusha kunann?
2026-11-09 10:14:48
5
Aisha mwasilaha :
Ila ni kifo cha aibu jamani dah! mungu atunusuru
2026-11-09 09:59:29
95
اسلحن🌺 :
😂😂😂mi nilishasafir mpk dubai na watu hawajui
2026-11-09 09:53:55
80
CHALE :
ngoja kwanza nikamtoee uyu arud kwaoo 🥺
2026-11-09 10:28:46
20
Hawiyah✨ :
Hapa sasa ndio tutamuelewa Hussein machozi 😭🙌🏾
2026-11-09 10:14:03
27
🇹🇿💃ساميرا🇴🇲 :
wale wakutumiwa nauli tunaenda mikoani veeeep hapoooo
2026-11-09 10:10:18
25
Mariamu Ramadhani :
Hussein machozi popote ulipo nyimbo imefikia lengo
2026-11-09 10:13:49
23
😷 Mask😷 :
Nipo na mtoto wa mtu hapa getto mpaka naogopa😎
2026-11-09 10:30:34
15
WID :
mimi mwezi ulopita tu nimemfata mwanaume mpaka china na ndugu zangu hawalijui hilo
2026-11-09 10:06:07
42
@Momo🥰 :
ndo nikua najiandaa kwenda mkoan saa itakuj😂😂
2026-11-09 10:41:50
8
خَدِيجَة ❤️🌺 :
tunaoangalia tukiwa kwa hao wapenz 😢
2026-11-09 10:44:37
7
Cosmas Madaraka :
sasa apoo uyu jamaa atakuwa huru juu ya sheria kwelii maana 😳
2026-11-09 10:23:08
5
Max Maizer a. k. a Young stuna :
show show
2026-11-09 10:49:48
0
Sammy :
et mzigo umepoa haaa jmn🥺🥺
2026-11-09 10:16:05
8
Pendobeautypoint♥️🇹🇿🇰🇪 :
Ngoja nighairi nilitaka mapumziko ya Mwezi wa 12 niende
2026-11-09 10:16:36
14
Vicky :
baa mpenz kwahiyo tunafanyaje tuache au tuendelee
2026-11-09 10:32:35
7
Asha❤️ nyoni🌸 :
ila Arusha matukio ni mengi
2026-11-09 10:07:38
9
James Kotei :
Hapo ndipo utaelewa hussein alikua anamanisha nini 😁😁
2026-11-09 10:03:00
16
@the Jo :
dah wengine wanacheka tu kweli binadam sisi duh😭
2026-11-09 10:15:26
6
bazalio🦞 :
duh jamani poleni alusha
2026-11-09 09:51:32
18
To see more videos from user @kusagatv, please go to the Tikwm
homepage.