@dangotembudya: 🌴🚤 DANGOTE MBUDYA ISLAND 🏝️ ✨ KARIBUNI KWENYE HUDUMA ZETU ZA BOAT TOURS! ✨ Tunajihusisha na huduma za usafiri wa boti kwenda visiwani na maeneo mbalimbali ya kuvutia kama: 🏝️ Mbudya Island 🏝️ Bongoyo Island 🏖️ Sandbank na visiwa vingine. 🚤 HUDUMA ZETU NI PAMOJA NA: ✅ Public Boat — usafiri wa pamoja. ✅ Private Boat — boti ya kujitegemea. ✅ Island Tours — kuzunguka na kutembelea maeneo mbalimbali ya visiwani kwa boti. ✅ Speed Boat — huduma za kukodi speed boat. ✅ Yacht Rental — kukodi yacht kwa mapumziko na safari maalumu. ✅ Jet Ski — kwa ajili ya burudani za majini. 🌊 Furahia uzuri wa bahari, mandhari ya kuvutia na safari zisizosahaulika pamoja na Dangote Mbudya Island! 📞 WASILIANA NASI LEO: 0674546886 🔥 Safari yako ya baharini inaanzia hapa! DANGOTE MBUDYA ISLAND — SAFARI, BURUDANI NA MATUKIO YA KUKUMBUKA! 🏝️🚤