@mrshadracktz: AJALI YA BASI YAUWA WATU 21-IRINGA Vifo vya watu 21 na majeruhi watano vimeripotiwa kufuatia ajali ya barabarani iliyohusisha basi la abiria na lori katika eneo la Njiapanda ya Kiponzero, kwenye Barabara Kuu ya Iringa–Mbeya, mkoani Iringa. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, ACP Allan Bukumbi, ajali hiyo imetokea asubuhi ya leo, Novemba 9, 2026, baada ya basi la abiria lililokuwa likitoka Kijiji cha Wasa, katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, kuelekea Iringa Mjini, kudaiwa kufeli breki wakati likitokea kwenye barabara ya vumbi na kuingia Barabara Kuu. Aidha, ACP Bukumbi amesema kuwa waliofariki katika ajali hiyo ni wanaume kumi (10), wanawake tisa (9) na watoto wawili (2) huku watu wengine watano (5) wakijeruhiwa. #creatorsearchinsights #livehighlights #tiktokpostingandvideocreation #firsttiktokvideotrendmeaning #iringa

Mr Shadrack
Mr Shadrack
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 09 November 2026 10:37:07 GMT
13189
451
72
40

Music

Download

Comments

jofrey.chaula0
Mrs chaula🥰 :
jamn iringa sehem gan
2026-11-09 11:03:30
10
janethmassawe315
Jean 💕 :
tumepoteza ndugu zetu watatu yaan mama mtoto mjukuu pamoja na unborn baby mungu awalaze mahali pema pepon mbele yao nyuma yetu 😭😭😭😭
2026-11-09 11:17:18
32
user2881609728027
dada Winny🎵 :
😭😭💔nine kupoteza shangazi yangu na watoto wake 3💔😭
2026-11-09 11:26:14
10
biologia802
Jack ☆♤♡ :
wapendwa tusiache kuomba huuu ni mwisho wa mwaka
2026-11-09 11:25:04
17
stamphord2
Justin stamphord :
duuu hii lin ten
2026-11-09 11:47:12
0
samsonlukosi
samsonilukosi :
R.I.P [Crying][Crying][Crying]
2026-11-09 11:53:58
0
faustajaphet
Fausta Japhet :
maisha ya mwanadamu mafupi hivo viloba utazani mitumba kumbe miili ya ndg zetu,ee Mungu tukumbushe kuzihesabu siku zetu😭
2026-11-09 10:47:03
10
prettyrushayna
Pretty rushayna ❄️🦋 :
poleni🙏🙏
2026-11-09 11:55:22
0
charminggirl___60
Me :
Kama hakuna ulazima wa kusafiri tusisafiri Jmn mwisho wa mwaka huu 🥹
2026-11-09 11:18:36
8
amoswinston5
amos winston :
mwamba akiuzungumzia sana mambo ya ajali ila saivi kila siku zinatokea lpc ajiuzulu
2026-11-09 11:49:08
1
masigati.manyika
Masigati manyika :
poleni
2026-11-09 11:43:37
0
ateen665
A-Teen :
Mungu tunakuomba uwatie nguvu waliowapoteza ndugu zao 😭🙏
2026-11-09 11:15:51
5
user3122013959457
scontina :
tumeondokewa na ndug zetu weng San mung azilaze mahar pema pepon roho za marehem wote[Pray]
2026-11-09 11:31:00
4
neemalaulenti
neema laulenti :
iringa sehemu gan
2026-11-09 11:02:57
0
neslihan.james
neslihan james💞💞 :
polen xan jamn mungu awatie nguvu wote
2026-11-09 11:44:10
0
princessroseprince
princess prince :
jaman duhh
2026-11-09 11:40:10
1
user6657711721528
tifa tifah :
bas mm uwa sipend ajari zitokee iringa duuh poleni sana wanakwetu
2026-11-09 11:35:31
0
user5670544084950
Tricy :
poleni🕊️🕊️💘💘
2026-11-09 11:48:36
0
user2881609728027
dada Winny🎵 :
nime poteza ndugu zangu 💔 😭😭 mimi najua Mungu upo nami maana ilitakiwa tusafiri pamoja leo kwenda iringa mjini ila nikasema mimi nitaenda kesho ila
2026-11-09 11:29:27
4
user8076366182676
mecy :
pole. unguluvi avatangage nyeva pasida avapelage umbepo umwimike.
2026-11-09 11:42:38
2
neno.la.matumaini
LULU @12345 :
eneo gani hapo
2026-11-09 11:03:48
0
alinachriss7
alinacriss :
sehem gan
2026-11-09 11:08:50
0
dafriluvinga
dafri :
MUNGU wangu angalia hili nakuomba uwatie nguvu ndugu wote waliopoteza wapendwa wao.🙏🙏
2026-11-09 11:45:24
1
vitenge.tz
vitenge tz :
Yesu Kristu Mwana wa Mungu😭😭😭😭😭tuhurumie twakuomba🛐🛐
2026-11-09 10:51:53
3
husseinkymwaga
chusse 🇹🇿 :
duuh
2026-11-09 11:05:01
1
To see more videos from user @mrshadracktz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About