eweee mwenyezimungu niepushe. na zinaaa unijaalie mume atakae nipenda kunijali na kunithamini
2026-11-09 11:39:10
101
ms_toumer🤎🦋 :
usiache kuswali sabab ya madhambi acha madhambi sabab unaswali🥰
2026-11-09 12:44:28
64
hadija suleimani :
allah atujalie mwisho mwema 🙏
2026-11-09 12:14:03
28
Asmah-@ :
Bola ata wew unatupa moyo
2026-11-09 13:20:50
10
its@RK :
Ahsantee mana nlikua natafta kujua km naruhusiwa kuswali[Teary eyed][Teary eyed]
2026-11-09 13:34:15
0
Da mimah :
Hiv kaka smhn. Naomba kuliza
Naweza sali swala ya alfajil bila kutia udhu
2026-11-09 13:59:27
1
Athumani bm :
Unafanya uislam very easy. Allah akulipe kheri kaka
2026-11-09 12:26:09
18
Shaz.cox🍁 :
TAQBIR
2026-11-09 14:17:35
1
🎀 FIRDAUSI 🎀 :
Thanks big Brother... u make us tough everyday.. may ALLAH be with you in every step u take 🤲🏾
2026-11-09 12:41:16
2
ummufatmah :
umejaaliwa hekma na busara
2026-11-09 12:57:53
4
Mariammfinanga12 :
Kama umeowa mkeo naomba awe anajipiga kifua mbele na kusema allihamdullillah allihamdullillah allihamdullillah ya Allah nijaalie mume kama huyu kijana inshaallah 😭😭😭😭😭🤲🏻
2026-11-09 12:39:17
7
faidha kiela :
Allah atuepushe na janga ilooo
2026-11-09 12:30:20
6
Ozalima😜✌️ :
mmi niliacha zinnaa sai naogpa Allah ameniwezesha kuacha Alhamdulillah sai bado hili dhambi la umbea najitahidi sana
2026-11-09 13:23:42
2
naswiyatyipingika :
subhanallah allah atusamehe madhamb yetu yaallah
2026-11-09 12:55:24
4
sadat simba :
Masha Allah shukran
2026-11-09 12:44:05
1
Rey💞 :
Hakika Allah ni mwingi wa Rehema na kusamehe
2026-11-09 11:45:00
2
zaysalt :
Asante broo
2026-11-09 12:10:52
1
Husna Hassan :
😂😂😂😂sorry , nice🥰🥰
2026-11-09 11:45:53
1
🦋 f@z🦋 :
kabisa
2026-11-09 11:54:30
1
Khan 017 🇦🇪🇹🇿 :
Keep goin broh May Allah bless you all the good things and protect you from your life and your families brother (Islam is everything)
2026-11-09 13:14:09
1
Hamadi_wa_pili. :
perfect score. mashaallah ✅✅
2026-11-09 11:34:07
1
suu :
allah niepushe
2026-11-09 11:52:15
1
🌸I'm Sharifa🩷 :
hatimaye leo umefika
2026-11-09 12:16:37
1
rib🫧 :
Katika yale ya kukuingiza peponi.. Allah akuongezee na hii ..Allahuma ameen
2026-11-09 12:32:42
1
Ish@H :
ya Allah tujalie na utuepushe na zina
2026-11-09 12:37:51
1
To see more videos from user @djibreels, please go to the Tikwm
homepage.