@lifeyaomera: HAITI: MATHIAS SAINTIL AUAWA KATIKA TUKIO LA USALAMA 🇭🇹 Taarifa kutoka Haiti zinaripoti kifo cha Mathias Saintil, anayetajwa kuwa kiongozi wa kundi la Boston, linalohusishwa na muungano wa makundi yenye silaha nchini humo. Tukio hili limeibua mjadala kuhusu hali ya usalama nchini Haiti na juhudi za kukabiliana na uhalifu wa kutumia silaha. Je, hatua hizi zinaweza kusaidia kurejesha amani nchini Haiti? 🌍 Kila tukio lina story nyuma yake. #Haiti #MathiasSaintil #HaitiNews #creatorsearchinsights #haitianchef
Longnus Huncho
Region: TZ
Monday 09 November 2026 11:37:40 GMT
Music
Download
Comments
rynee :
Mbn mnafanana?
2026-11-09 12:28:43
34
76 :
alafu jitaidi kukaza sauti ndugu yangu sawa
2026-11-10 06:04:48
10
Ris :
Je? Nikulize... Joseph Wilison Amewawa, Yani Yule Wa Rasta
2026-11-09 14:41:28
9
Grace raph :
mpole wew aisee badilika kidogo bro wangʻu🥰🥰🥰
2026-11-15 18:23:45
1
rosemary :
sijui tumwamini yupi jmn
2026-11-09 16:15:23
4
jr_richard72 :
Wewe si ulituaminisha ukasema hizo ni video za zamani
2026-11-10 22:59:24
3
Ester Mathayo :
endeleeni kutuchanganya
2026-11-11 18:54:45
0
simple skills :
AI Zimezidi Mnatuchanganya
2026-11-10 10:57:34
4
vee💘 :
nimeipenda hiyo baby love huko halipo anafrah sanaaa 🥰🥰
2026-11-09 17:45:10
1
jasam kileo :
Waziri wa haiti anaenda kuchukua nchi na mlaji wa hio nchi atakuwa ni nayeb bukele kiufupi el salvador itakuwa ndio bwana na haiti ndio koloni
2026-11-21 11:57:02
0
Kiribati :
Huyu ndo alishika simu kurekodi 🥺
2026-11-12 20:42:28
1
varensi 2020 :
mungu mwema
2026-11-09 14:16:36
1
Mary Mwaisela :
Wakomae wayafute watu waishi kwa amani
2026-11-09 21:00:29
1
Nay Akili :
kweli
2026-11-09 20:13:34
1
Fred Jr :
safiiii
2026-11-09 14:46:07
2
Influencer wa maopareta :
du
2026-11-09 13:50:53
0
ubatilisaleh :
[Red heart][Red heart][Red heart][Red heart] naipenda
2026-11-09 12:34:11
1
fredy gags :
acha uongo
2026-11-22 19:26:51
0
miraj :
apo bado lanmo sanjou
2026-11-10 04:23:28
2
mbuzi :
mm nilijua ni ww😂
2026-11-10 10:03:36
2
PRESENCE NIFER💕 :
yataisha.kwa.uwezo.wake.mungu.
kwa wanyonge
2026-11-10 07:36:50
2
NYAKO DECOR :
Huyu mbona nitofati na yule mwenye rasta
2026-11-09 12:55:09
1
kipezya355 :
Wakasaidie na Congo haiti itapoaa Saf
2026-11-09 17:45:17
1
mordekai Tz :
mbona kiongozi wa mawozo akamatwi jamani mm apo ndonitaona shwali tena nikimuona jela selvado☺️
2026-11-09 16:14:40
1
To see more videos from user @lifeyaomera, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.