Jmn hii ni ndoto ya Kila mwanamke kutamani kuwa na mama mkwe kama huyu
2026-11-09 12:30:22
379
Ashura Juma :
saf mamkwe[Heartwarming]
2026-11-18 15:55:30
0
elizabethdaud748 :
mama mkwe kama hawa wana patikana wap
2026-11-13 15:41:36
6
m :
part 13
2026-11-22 06:28:03
0
solangeniyonsaba53 :
Good mama
2026-11-21 17:11:47
0
DOCA💝 :
huyu mama ana tabia sawa na mama angu.
2026-11-09 14:22:49
123
Mariam254 :
mama I love god bless [Pray][Pray][Pray]🫂🫂🫂
2026-11-21 07:44:36
0
@chris kerush :
nice one next
2026-11-20 18:43:46
0
PHOSTINE NANAJALA :
Good job
2026-11-21 20:28:53
0
Elda Yayake :
eeeee haaa
2026-11-21 11:33:46
0
Aisha tz💞🦋 :
hawa ndo mama wakwe tunao wahitaji huko baadae tuseme ameen
2026-11-10 09:30:46
20
user7901613744448 :
mama wakwe waliofanana na huyu, walikufaga enzi za TANU yajenga nchi ☺️
2026-11-09 12:28:02
41
Veronica shija :
huyu mama nimempenda Bure ningemuona karibu ningempatia zawadi ya Pepsi ya baridi akapoza kooo lake maana kanifurahisha sana tuwe hivyo tulio na watoto wakiume
2026-11-10 08:44:10
6
Bernadetha Komba54 :
mama mkwe wote wangekua hivi hakuna ndoa ambayo ingevunjika
2026-11-09 13:27:26
28
Lucy Yusuph :
mungu nipe mama mkwe kama huyu🥰
2026-11-09 12:52:06
14
janes sinyoramukure 👞 👠 :
lnipate wap mama mkwe kama huy zaid ya AI
2026-11-09 11:53:44
27
Mary Slah :
Makofi kwa mama,nitahakikisha nitalea vijana wangu hivyo hivyo Mama 💕
2026-11-09 16:31:01
9
tabita :
hongela mama kwa upendo
2026-11-09 12:37:06
12
abdallahdullah268 :
Mkwe bora kabisa
2026-11-09 12:20:33
8
modo :
ningepata mama mkwe kama huyu ninge tamba.
2026-11-11 09:08:47
5
Fidemtumishi user4813590657886 :
Ah mama wakwe wangekuwa hivi jamani mdoa ingekuwa paradiso
2026-11-09 14:14:56
7
user1695387326261 :
maman mungu akubariki
2026-11-09 12:18:04
10
To see more videos from user @burudani_tv, please go to the Tikwm
homepage.