@watengwawtc: Track number nane,MAISHA (ft @onesixtz ) Mdundo wa ChindoMan na @mnyama_double akamalizia pale mixing & mastering. Maisha ni nini? Tafsiri yake utaipata katika verse za Yuzzo, ChindoMan na Chacalito kwa hii ngoma. Endelea kusikiliza Album katika Kila digital streaming platform. #Watengwa #Watengwawtc #FullIleBaraka