@savedbyhisgrace692: 1 Wakorintho 16:9 inasema nimefunguliwa mlango mkubwa wa kufaa sana, na wako wengi wanipingao. Kutoka 1 Wakorintho 16:13-16, tunakumbushwa: 13 Kesheni, simameni imara katika Imani, fanyeni kiume, mkawe hodari. 14 Mambo yenu yote na yatendeke katika upendo. 15 Tena ndugu, nawasihi; (mnawajua watu wa nyumbani mwa Stefana kwamba ni malimbuko ya Akaya, nao wamejitia katika kazi ya kuwahudumu watakatifu); 16 watiini watu kama hawa, na kila mtu afanyaye kazi pamoja nao, na kujitaabisha. #Maandiko #Imani #Upendo

Rooted in Faith🏠
Rooted in Faith🏠
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 09 November 2026 12:12:57 GMT
5435
454
16
21

Music

Download

Comments

glorychonjo981
Momy's gal :
beat ya wimbo inaitwaje?
2026-11-09 20:41:17
0
irene.deogratius4
Irene Deogratius :
Amen[Pray][Pray][Pray][Pray][Pray]
2026-11-09 17:03:05
0
madame.c.e.o5
🦋Madame C.E.O❤️ :
Ahsanteee Mungu baba wa mbinguni 🙏🙏🙏
2026-11-09 18:59:54
0
mimright1
Mimright✨ :
Amen 🙌🙌🙏
2026-11-09 16:46:32
2
emmanuel.mafuliko
Emmanuel mafuliko :
Amina baba napokea neema yako
2026-11-09 18:41:43
0
forever_douglas
forever_douglas :
Ameen
2026-11-09 20:18:40
0
scorpiongirl706
Scorpion🦋 :
Amen🙏
2026-11-09 20:06:02
0
reen28155
Reen🍭 :
ame3
2026-11-09 17:38:06
0
farryntandu450
last born 🤭♥️ :
amen
2026-11-09 19:47:15
0
dimples.r.from.kil
Northern Girl🥷 OG 🇹🇿🇨🇳 :
2026-11-09 17:12:18
0
elidanasson
☘ :
amen amen🙏🙏🙏🙏
2026-11-09 16:26:29
1
furaha.uwimana1
Nõno Furaha :
Amen🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️
2026-11-09 19:30:22
0
humphrey_hrk8
Humphrey Burbridge :
Amen 🙏
2026-11-09 17:18:35
0
white.avegon
white avegon :
🥰🥰🥰
2026-11-09 13:47:46
1
warioba48
mima :
🙏🙏
2026-11-09 17:00:23
0
perfumeworld17
🇹🇿❤️ :
🥰🥰🥰
2026-11-09 18:00:50
0
To see more videos from user @savedbyhisgrace692, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About