@bigthemadness: Kuna majina ambayo yanabeba historia ya mafanikio katika nyanja tofauti. Salaah Said Mohamed mfanyabiashara anayehusishwa na Silent Ocean na MwanaFA mmoja wa majina yenye heshima kubwa katika muziki wa Bongo Flava. Watu wawili kutoka dunia tofauti za mafanikio, lakini wanaofahamiana. Ni vizuri kuona namna watu wenye mchango katika sekta mbalimbali wanavyokutana na kujenga mahusiano. Tajiri Mtata Salaah kupitia kampuni yake ya Silent Ocean wanaenda kutoa fimbo zaidi ya elfu 10 kusaidia watu wenye uhafifu wa kuona. #MwanaFA #Salaah #ChukuaHii
𝐁𝐢𝐠𝐭𝐡𝐞𝐦𝐚𝐝𝐧𝐞𝐬𝐬
Region: TZ
Monday 09 November 2026 12:24:44 GMT
Music
Download
Comments
Lameck Daniel :
Kaka tayar umetoa cod
2026-11-09 14:28:07
10
Mr anything :
ko wenzetu wakimaliza form 4
wana enda kusomea Degree
2026-11-09 17:24:45
17
Veronika♥️ :
ewaa kumbe mume niliyekuw naonyeshwa na mungu kweny maono ni Salah
2026-11-09 17:15:03
9
* Man Yuser :
Kati ya Salaaa na Fahad nani mdogo kwani😳
2026-11-09 13:55:25
8
Kombe :
A.K.A Scarface
2026-11-09 20:05:51
5
Kenan :
Hivi kisa cha kumwagiwa Tundikali ilikuwa ni nini chanzo
2026-11-09 16:04:30
2
#Shuku Tz Boy# ORKN :
Good my stor Salah next time play part2
2026-11-09 19:39:08
3
sierah kitomary :
silent ocean utaisikia kwenye yalaiti intro
2026-11-09 22:44:12
3
imma the boy :
me mkubwa sana
2026-11-09 21:18:45
0
Yesse Damiani :
mwanangu UNAJUA kinoma
2026-11-09 16:08:15
3
Dzeko Maestro90 :
Nilikuwa najiuliza sana mbona Mwana Fa anamtaja sana huyu ni nani aisee leo umenifumbua asante sana kaka
2026-11-10 16:19:52
3
mustapha mpanda🇹🇿🇨🇩✅ :
BIG THE MADNESS 🤝
2026-11-10 09:36:10
1
Hamza mgaza :
nimepata kujua na mm
2026-11-10 06:01:34
2
mkazuzu :
noma Sana
2026-11-10 06:58:00
1
Tewa Lyana :
silent ocean
2026-11-10 14:49:32
0
𝓒𝓞𝓛𝓞𝓡_𝓜𝓐𝓝 :
Dimpoz
2026-11-12 20:21:27
0
vioo Store tz :
kabisa
2026-11-09 19:46:19
1
мк яσѕα✨ :
2026-11-09 16:36:39
0
shajo ⁰07 :
story kali unajua kupanga vna
2026-11-09 15:34:20
3
Tun_ech@ :
😂😂😂😂 huwez kusema kaacha shule mtu anasoma master uko angekuwa kaacha akiwa secondary apo sawa 😂😂😂 ila mbaka chuo kamaliza
2026-11-09 15:30:42
3
dhidha salim :
Mazoezi pia huwa yanafaa kupunguza mwili.
2026-11-09 17:25:24
1
browniemonroe26 :
Huyo siyo last born acha uongo
2026-11-12 03:03:21
0
jj decoration :
sawa madness big broo heshima nyundo zishuke blood
2026-11-12 09:29:23
0
user6360546209945 :
Ushasema kasoma India ...ndio maana km Zuchu..
2026-11-09 21:17:10
0
Msafiri Mnemba :
Unadanganya mwanangu simwanzilishi wa silent ipotoka 2009hiyo palechina
2026-11-09 20:49:35
0
To see more videos from user @bigthemadness, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.