Ukifika kituoni ndo utajua kosa ulilofanya ni kubwa kiasi gani
2026-11-10 07:09:43
12
The Legend Master :
😁😁Aliomshoot kamponza mwana
2026-11-09 20:07:43
4
J.R 🦅 :
Tufanye yote ila ndgu zangu tusifikie uku tueshim sana iz uniform saw kuna mda tunakosewa ila tujarbu kueshim mamlaka apo wapo weng ila ukishabak peke yako ndo utajua wew ulizingua sio vzur ata kidgo tusiwe mashabiki wa aya mambo sio powa 🙏
2026-11-10 18:06:52
1
shumazy .0650328720 :
bro wewe umeikosea serekali daah co vzr
2026-11-10 08:08:30
4
Makamo wa rais(mgogo) :
utajutia kija mm ndo rais
2026-11-09 18:06:44
7
Scott Wizz :
shwaaaaaaa
2026-11-10 11:32:20
0
kida one :
Makofi
2026-11-09 17:53:12
9
Father G :
next please
2026-11-10 12:35:26
0
🏍️🏍️ :
Alooi😂😂
2026-11-09 19:49:43
2
Razia Ramadhani :
apana so vzr
2026-11-09 19:00:55
1
Shaibu sheby lv :
jamani arilewaa
2026-11-09 17:46:41
3
༺🄺🄸🄽🄶 🄿🄻🄰🅈🄱🄾🅈🅃🅉🫅 :
😂😂😂 kijana unapiga serikali
2026-11-09 19:06:12
2
D, FIGHTER💪🏻🤛🏻 :
uaaaaa
2026-11-09 19:06:01
1
YOUNG B MNDEME🤘🛫🇺🇲 :
Wapi hii wana jiamulia mambo
2026-11-09 20:38:57
1
Kambaya jr :
hapo kuna mambo haya[Awkward]
2026-11-09 19:15:18
1
Shine handbags mwanza 🛍️ :
2026-11-09 17:18:10
1
Duway,,, :
Family wa msimbazi mlikuwa wapi
2026-11-09 23:52:32
0
odilia cut :
daah mung amlaze mahali pema baba ang
2026-11-09 20:11:39
1
unique accessories :
Unangusha jamuhuri
2026-11-10 16:07:48
0
HOME BOY26 :
umeishaa
2026-11-10 15:00:34
0
Fundi bomba :
Haiwezekani kamanda kupigwa na raia
2026-11-10 13:58:50
0
davidkenya879 :
hapo umeipga serikal broo
2026-11-10 18:30:55
0
MI Amor :
hiyo nimependa sana ila aiye weka huu ushahidi wapicha mjongeo ndo kaharibu
2026-11-10 17:07:38
0
tin mc 26 :
wa2 oyaaa eee weweeeeeeeh
2026-11-10 12:49:58
0
To see more videos from user @kodacki_black45, please go to the Tikwm
homepage.