@suluhisho_lauzazi1: Replying to @gift.heri Dada yangu, umewahi kusikia au kukutana na kauli ya "Nimepata mimba, lakini kila nikishika Mimba zinatoka"? ​Kama umewahi kupitia au kusikia hili, usikimbilie kuamini kwamba kizazi chako hakiwezi kubeba mimba kabisa. Kuwa na dalili fulani hakumaanishi huwezi kupata mtoto, lakini baadhi ya ishara zinaweza kuwa onyo la tatizo la ndani linalohitaji kuchunguzwa na kutibiwa mapema. ​Hizi hapa ni dalili za msingi za kuchunguza: ​1️⃣ Hedhi Zisizo na Mpangilio: Mara zinawahi, mara zinachelewa, au zinakaa miezi bila kuja. Hii inaweza kuhusishwa na utoaji wa yai usio na mpangilio unaopunguza nafasi ya kupata ujauzito. ​2️⃣ Maumivu Makali Wakati wa Hedhi au Tendo: Kama maumivu yamepitiliza na huja yasiyo ya kawaida, ... wakati mwingine yanaweza kuhusishwa na Changamoto za Kwenye Kizazi Chako kama vile endometriosis au maambukizi ya muda mrefu kwenye mfumo wa uzazi (kama PID). ​3️⃣ Uchafu Ukeni wenye Harufu au Kuwasha: Usizoee kujitibu kwa mazoea bila kujua chanzo. Baadhi ya maambukizi yakiachwa yanaweza kuathiri mfumo wa uzazi na hata mirija. ​4️⃣ Nyewe nyingi usoni, Chunusi na Badiliko la Uzito: Hizi zinaweza kuwa ishara za changamoto za homoni kama PCOS, ambazo huathiri uchiaji wa mayai. ​Na kama mimba inatoka mara kwa mara? Kuna sababu mbalimbali zinazoweza kuchunguzwa, ikiwemo matatizo ya kizazi, fibroids, udhaifu wa mlango wa kizazi, au maambukizi yasiyotibiwa vizuri. Mimba kutoka mara moja haimaanishi huwezi kubeba tena; tafuta chanzo hasa kama hali imejirudia. ​Ushauri Wangu: Kama unasumbuliwa na changamoto za homoni, PID sugu, au mimba kuharibika mara kwa mara, kusafisha mfumo wako wa ndani na kurejea kwenye uwezo wa asili ndiyo nguzo kuu. ​Dozi yetu ya UZAZIRESTORE VCAPSULE (Tshs 265,000/=) inasaidia kusafisha sumu, kuondoa maambukizi sugu ya ndani, na kuweka homoni sawa ili kulinda na kuimarisha kizazi chako. ​📲 Tuma neno "UZAZI" Wasapp: +255 797637021,(Dr.Dickson) nikutumie mwongozo na dozi kulingana na hali yako. ​#UzaziRestore #AfyaYaMwanamke #MimbaKutoka #PCOS #PID

SULUHISHO LA UZAZI
SULUHISHO LA UZAZI
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 09 November 2026 13:24:40 GMT
3368
33
0
2

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @suluhisho_lauzazi1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About